Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huko ndo chap kwa haraka.na matunda piaHapa Dar itawezekana?
Uza lamba lamba mashuleni.Naomba kuuliza,
Hivi kwa mtaji wa sh laki moja na nusu, naweza anzisha biashara gani inayolipa na yenye uwezo wa kunipatia faida ya hadi 20, 000 kwa siku!
Msaada tafadhari!!
Lakini isiwe network money ya tuma link!!
Kama upo dar,,,Naomba kuuliza,
Hivi kwa mtaji wa sh laki moja na nusu, naweza anzisha biashara gani inayolipa na yenye uwezo wa kunipatia faida ya hadi 20, 000 kwa siku!
Msaada tafadhari!!
Lakini isiwe network money ya tuma link!!
Oil chafuKwa mtaji wa laki na nusu inaweza Fanya biashara gani??(taja na mahali unapochukulia hiyo biashara ni wapi).
Je inaweza fanikiwa ukawa mtaji mkubwa kabisa?
Mkuu,hebu weka nyama kidogo hayo madude unayanunua km wale jamaa wanaonunua chupa za plastic kutoka Kwa waokota machupa?Oil chafu
Mifuko ya Jafafa ana aina nyinginezo
Mapipa ya viwandani ya plastic na ya Bati
Na waste kibao tuu.. Ukishatengeneza mtandao wako biashara itakuwa maradufu
Hapana mkuu yanapatikana viwandani vile viwanda vinavyoagiza malighafi toka njeMkuu,hebu weka nyama kidogo hayo madude unayanunua km wale jamaa wanaonunua chupa za plastic kutoka Kwa waokota machupa?
Fafanua mkuuOil chafu
Mifuko ya Jafafa ana aina nyinginezo
Mapipa ya viwandani ya plastic na ya Bati
Na waste kibao tuu.. Ukishatengeneza mtandao wako biashara itakuwa maradufu
Subiri kesho kwasasa naunyweshea moyo.. Nawezs kuharibuFafanua mkuu
Shusha elimuOil chafu
150,000 inategemea wewe ni binti wa aina ganiKwa mtaji wa laki na nusu inaweza Fanya biashara gani??(taja na mahali unapochukulia hiyo biashara ni wapi).
Je inaweza fanikiwa ukawa mtaji mkubwa kabisa?
Oil chafu inaingia kwenye malighafi taka (taka taka ama waste) hii ni bidhaa yenye matumizi mengi yasiyopewa kipaumbele na wengiS
Shusha elimu