Kuna boti mkuu na ngalawaHivi kutoka visiwani samaki au dagaa wanafikaje mwaloni?,Nina maana Kuna meli za costant au ndo usafiri wa ngalawa?
Mkuu kuna kuku mpaka wa 25,000 ulishaona kuku chotara mbegu ya malawi au Israel? Bei inafikaga mpaka 30,000Duh..!!,huyo kuku wa 18,000 Ni kuku au ndege mwarabu mkuu?,maana hiyo Bei inakaribia Bei ya mwanambuzi
Hii ya kuuza nyama ikoje fafanua mkuuNjoo tuuze nyama mambo ni mazuri
Mnao taka ufafanuz wa biashara ya dagaa naomba mseme mkoa mlipo ili nitoe maelezo ya kina na gharama za nauli ya kusafirisha mzigo
350,000/= size ndogoNi Tsh. Ngapi iyo mashine mkuu
samahani mkuu hiyo biashara ya bisi ikoje unaweza fafanua kdg.faida na hasara zake piah350,000/= size ndogo
Huwez jutia.
Za hivi?samahani mkuu hyo biashara ya bisi ikoje unaweza fafanua kdg.faida na hasara zake piah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu me nipo DSM nipe maelezo basiMnao taka ufafanuz wa biashara ya dagaa naomba mseme mkoa mlipo ili nitoe maelezo ya kina na gharama za nauli ya kusafirisha mzigo
Mimi nipo TaboraMnao taka ufafanuz wa biashara ya dagaa naomba mseme mkoa mlipo ili nitoe maelezo ya kina na gharama za nauli ya kusafirisha mzigo
Asante mkuu umenifungua sana ubarikiwe, narudi Chuo kumaliza degree yangu hii but nikirudi nataka nijichanganye mtaani but saving zangu zinafika laki 9 na nikiuza gheto zima (nimepanga) Total nitafikisha 1.5M na hii laptop nikiamua kuiuza nitakua nmeongezea kwenye mtaji Hope nikianza hiyo biashara itanilipa sivyo mkuu.