Kwa mtaji wa Tsh. 400,000/- naweza fanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Tsh. 400,000/- naweza fanya biashara gani?

Duh..!!,huyo kuku wa 18,000 Ni kuku au ndege mwarabu mkuu?,maana hiyo Bei inakaribia Bei ya mwanambuzi
 
Hivi kutoka visiwani samaki au dagaa wanafikaje mwaloni?,Nina maana Kuna meli za costant au ndo usafiri wa ngalawa?
 
dah, hata mimi haka ka semister naenda kukamalizia but nina kama 1.5 million nawaza niifanyie nini,,,,mana one mistake ndo imekula kwako mazima
 
samahani mkuu hyo biashara ya bisi ikoje unaweza fafanua kdg.faida na hasara zake piah



Sent using Jamii Forums mobile app
Za hivi?
crispy-corn.jpg
 
Fungua biashara ya matunda

jenga kibanda au weka meza karibu na stand au sehemu yoyote yenye movement za watu
 
Nenda mbezi mwisho kafanye biashara ya matunda kwa mtaji wako huo ni mkubwa Sana.

Mfano ukinunua machungwa ya 50,000 unapata 80,000 unauza kwa siku moja na ukichelewa Sana mzigo unamalizia kidogo kesho yake na una top up mzigo mwingine. Kwa hiyo kwa siku utakuwa unalala na tsh 15,000 / 20,000 hadi 30,000.

Mtaji ukikuwa kama 500,000 unaenda tanga unajaza carry yako unakuja unawauzia watu kwa jumla na kwa mzigo wa laki 5 unapata Faida 250,000 kwa trip moja na ukikosa Sana laki 2 Faida unapata.

Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza Chuo jamaa yangu Alianza na mataji wa 200,000 mpaka sasa alishajenga nyumba kwa kazi hiyo na mke wake naye kamfundisha hiyo kazi mana mtaji ulikuwa hadi analeta chungwa 30,000 hadi 50,000 kwa trip na kwa sasa ana carry yake.

Big note. Usiokope challenge kwenye biashara na ili ufanikiwe Mara 1 lazima u drop Mara 9.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu umenifungua sana ubarikiwe, narudi Chuo kumaliza degree yangu hii but nikirudi nataka nijichanganye mtaani but saving zangu zinafika laki 9 na nikiuza gheto zima (nimepanga) Total nitafikisha 1.5M na hii laptop nikiamua kuiuza nitakua nmeongezea kwenye mtaji Hope nikianza hiyo biashara itanilipa sivyo mkuu.

Hapa ndipo utakapo feli Mkuu, kama upo mjini usiuze gheto komaa hapo hapo kwa mtaji ulio nao.

Ukiwa mjini kazi ni nyingi kuliko kijijini/mkoani utaitafuta elfu 20 kwa mbinde sana. Komaa mjini dili ni nyingi


Chopstick from Hong Kong
 
Tupo wengi sana ambao tunaenda kumaliza semester na tuna mitaji kiasi flani ya kuanzi biashara ila bado hatujui biashara ipi ya kufanya wakuu tunasoma comment zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom