Pre GE2025 Kwa mtazamo wako CHADEMA chini ya uongozi mpya imeparalyse au imepoteza dira na uelekeo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani wanaleta vikongwe wanaotembea Kwa mkongojo kuongoza chama kilichopoteza muelekeo...

Ghafla wanateua mgombea mwenza kabla ya mchakato wa kugombea Urais haujaanza.
 
Yaani wanaleta vikongwe wanaotembea Kwa mkongojo kuongoza chama kilichopoteza muelekeo...

Ghafla wanateua mgombea mwenza kabla ya mchakato wa kugombea Urais haujaanza.
gentleman,

jikite kwenye hoja basi,
yanini kubabaika na kwewewseka nje ya mada?
 
Kama katiba ya chama tu mmeshindwa kuifuata, hiyo ya chama mtaweza?
Mimi nadhani you got to deal with ccm kabla ya kuanza kunyoosha vidole kwa wengine.
Kuna namna ccm inazidi kuwapa hasira watanzania.
 
Ungekuwa neutral ungeuliza maswali sahihi balanced. Ila maswali yako yameishatoa judgement tayari.
 
Ungekuwa neutral ungeuliza maswali sahihi balanced. Ila maswali yako yameishatoa judgement tayari.
hakuna haja ya kubababika na jambo ambalo ni bayana gentleman,

uongozi mpya wa chadema umepoteza dira na uelekeo,

ikiwa sivyo,
waelezee wadau bila kubababika gentleman πŸ’
 
We kima fanya kazi tafuta pesa CCM ipo tu utakufa utaiacha.
 
Kama katiba ya chama tu mmeshindwa kuifuata, hiyo ya chama mtaweza?
Mimi nadhani you got to deal with ccm kabla ya kuanza kunyoosha vidole kwa wengine.
Kuna namna ccm inazidi kuwapa hasira watanzania.
gentleman,
Je
uongozi mpya wa chadema Taifa umeparalyse, umepoteza dira na uelekeo?

Ikiwa sivyo,
elezea wadau bila kubababika wala kuhamisha magoli kwenye vyama vingine vya siasa πŸ’
 
Nashindwa kutoa maoni yangu kwa sentensi yako. Hivi "kubababika" ndiyo makitu gani mkuu.
 
We kima fanya kazi tafuta pesa CCM ipo tu utakufa utaiacha.
mihemko na makasiriko dhidi ya hoja mahususi mezani, ni umaskini mbaya sana wa fikra, pole gentleman,

Na kuwaza mauti ni imani potofu ya ushirikina πŸ’
 
Nashindwa kutoa maoni yangu kwa sentensi yako. Hivi "kubababika" ndiyo makitu gani mkuu.
ni kufilisika mawazo mapya na fikra mbadala bora zaid ya hoja mahususi mezani πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…