Pre GE2025 Kwa mtazamo wako CHADEMA chini ya uongozi mpya imeparalyse au imepoteza dira na uelekeo?

Pre GE2025 Kwa mtazamo wako CHADEMA chini ya uongozi mpya imeparalyse au imepoteza dira na uelekeo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
relax gentleman,
I told you before ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala na bora zaidi ya hoja iliyotolewa mezani,

Inapendeza ukikaa kimya tu gentleman 🐒
There's no way you can silence me, ukileta hoja kaa kimya na utulie. Usitake kusoma mawazo unayopenda kusikia. Unajiita senior political analyst halafu hutaki tuandike negatives zako.

Wewe endelea kumsifu SASHA, ndio analysis unayoweza!
 
Au agenda iliyopo sasa ni kuwatembelea viongozi wastaafu tu?

Maana kazi kubwa mpaka sasa ambayo inafanyika ni ile ambayo wataalamu na wachambuzi wengi wa siasa za vyama vya siasa Tanzania walitarajia, kazi ya kuwavua uanachama, kuwaengua kwa fedheha viongozi watendaji wa chadema waliokua chini ya uongozi wa mwenyekiti wa zamani, jambo ambalo linazidisha na kuendeleza uhasama, chuki na migawanyiko zaidi miongoni mwa wanachadema wa kambi zilizokua zinawania uongozi wa chadema kitaifa.

Matarijio mengine ambayo wabobevu wa siasa za Tanzania waliangazia kuyaoni yakichochewa na kusababishwa na uongozi mpya wa chadema, ni pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa chadema kujiengua kwa hiyari zao na kujiunga na vyama vingine kukwepa siasa za fujo zilizokosa ustaarabu, maandamano, migomo, matamko na press conference zisizo na tija, vitu ambavyo vimewekwa kama vipaumbele muhimu vya uongozi mpya wa chadema.

Kipaumbele cha chadema kwa sasa ni kuwaengua uanachama wanachama wake hasa wale waliokua wanamuunga mkono kiongozi wa zamani wa chadema taifa kwa chuki na hila hila binafsi, kuwasimamisha na kufukuza uanachama wale wote wenye mawazo tofauti na ile ya mwenyekiti halafu kwenye media wanadaini ni uhuru wa kutoa maoni.

Nini mtazamo wako kama mdau wa demokrasia za vyama vya siasa nchini? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Nchi nyingi duniani zinatumia mtindo wa kumfanyia tathmini Kiongozi baada ya siku mia Moja ofisini. Ngoja tumsubirie tuje tumuumbue vizuri.
 
There's no way you can silence me, ukileta hoja kaa kimya na utulie. Usitake kusoma mawazo unayopenda kusikia. Unajiita senior political analyst halafu hutaki tuandike negatives zako.

Wewe endelea kumsifu SASHA, ndio analysis unayoweza!
calm down then gentleman 🐒
 
kipaumbele ni kuwavua uanachama wanachadema au?
na mbona hakusema hivyo wakati wa kampeni?

ni kuparalyse au kukosa uelekeo gentleman, ukiachilia mabali mabunduki yako? :BASED:
Chadema ina safari ndefu kurudi pale pa 2015.
Kwanza hawana umoja just kila kikundi na kwake.
Pili kuna easy come eazy go wakutafuta kula bila kunawa.
Tatu kuna akina pangu pakavu tia mchuzi wao ni kulalamika bila kutatua.
Kwa mtaji huu Chadema itatoboa? NADA,unless wanakuja na hoja ya upendo na kuvumiliana.
 
Back
Top Bottom