MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kwa sasa CCM iweke nguvu kukabiliana na CHAUMMA kwa sababu ndo chama cha upinzani chenye nguvu kilichobaki. CHADEMA is no more.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauza baa wa chako no chako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭💯Wauza baa wa chako no chako
Unakuwaje na mamlaka ya kujadili ya vyama vingine kama katiba tu ya chama chako umeshindwa kuifuata?gentleman,
Je
uongozi mpya wa chadema Taifa umeparalyse, umepoteza dira na uelekeo?
Ikiwa sivyo,
elezea wadau bila kubababika wala kuhamisha magoli kwenye vyama vingine vya siasa 🐒
CHADEMA ndio inawapa hasira kali sana watanzania ya kuiadhibu kwa bakora kali sana kwenye sanduku la kura Uchaguzi ujao. Watanzania wanasikitika kuona CHADEMA limegeuka kuwa genge la madalali na wachumia tumboKama katiba ya chama tu mmeshindwa kuifuata, hiyo ya chama mtaweza?
Mimi nadhani you got to deal with ccm kabla ya kuanza kunyoosha vidole kwa wengine.
Kuna namna ccm inazidi kuwapa hasira watanzania.
Mchakato wa kumpata mgombea wa ccm ulifuata kanuni gani? Acha kuleta ujuaji wako kwa kujali hilo tumbo. Ccm wamekuwa genge la walafi na wahuni tu.CHADEMA ndio inawapa hasira kali sana watanzania ya kuiadhibu kwa bakora kali sana kwenye sanduku la kura Uchaguzi ujao. Watanzania wanasikitika kuona CHADEMA limegeuka kuwa genge la madalali na wachumia tumbo
Au agenda iliyopo sasa ni kuwatembelea viongozi wastaafu tu?
Maana kazi kubwa mpaka sasa ambayo inafanyika ni ile ambayo wataalamu na wachambuzi wengi wa siasa za vyama vya siasa Tanzania walitarajia, kazi ya kuwavua uanachama, kuwaengua kwa fedheha viongozi watendaji wa chadema waliokua chini ya uongozi wa mwenyekiti wa zamani, jambo ambalo linazidisha na kuendeleza uhasama, chuki na migawanyiko zaidi miongoni mwa wanachadema wa kambi zilizokua zinawania uongozi wa chadema kitaifa.
Matarijio mengine ambayo wabobevu wa siasa za Tanzania waliangazia kuyaoni yakichochewa na kusababishwa na uongozi mpya wa chadema, ni pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa chadema kujiengua kwa hiyari zao na kujiunga na vyama vingine kukwepa siasa za fujo zilizokosa ustaarabu, maandamano, migomo, matamko na press conference zisizo na tija, vitu ambavyo vimewekwa kama vipaumbele muhimu vya uongozi mpya wa chadema.
Kipaumbele cha chadema kwa sasa ni kuwaengua uanachama wanachama wake hasa wale waliokua wanamuunga mkono kiongozi wa zamani wa chadema taifa kwa chuki na hila hila binafsi, kuwasimamisha na kufukuza uanachama wale wote wenye mawazo tofauti na ile ya mwenyekiti halafu kwenye media wanadaini ni uhuru wa kutoa maoni.
Nini mtazamo wako kama mdau wa demokrasia za vyama vya siasa nchini?
Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna kifungu kilichovunjwa na kukiukwa. Kama una hasira kunywa Sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani.Mchakato wa kumpata mgombea wa ccm ulifuata kanuni gani? Acha kuleta ujuaji wako kwa kujali hilo tumbo. Ccm wamekuwa genge la walafi na wahuni tu.
Acha kubwaja bwaja wewe hopeless kima, kafanye vibarua.mihemko na makasiriko dhidi ya hoja mahususi mezani, ni umaskini mbaya sana wa fikra, pole gentleman,
Na kuwaza mauti ni imani potofu ya ushirikina 🐒
Pole kwa kupanic mkuu,Hakuna kifungu kilichovunjwa na kukiukwa. Kama una hasira kunywa Sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani.
Gentleman,Unakuwaje na mamlaka ya kujadili ya vyama vingine kama katiba tu ya chama chako umeshindwa kuifuata?
Usitafute madhaifu ya jirani wakati ya kwako hujayatatua
Wewe ni mchambuzi mbobevu wa maswala ya siasa Tanzania? Good grief !!!! As in a senior political analyst? Mkuu amka usingizini...Gentleman,
mamlaka zote za dunia hii zimetoka kwa Mungu.
kama mchambuzi muandamizi mbobevu katika siasa za Tanzania ni haki, uhuru na wajibu wa wa kuibua, kuchambua na kwakweli kueleza ukweli wa wazi kabisa unaoendelea ndani ya vyama vyote vya siasa nchini hususani chadema,
kwahiyo tuliza mihemko na makasiriko, jadili hoja mezani ikiwa una unga mkono hoja ama vinginevyo, kuliko kumbwelambwela bila hoja humu jukwaani 🐒
Muulize Choice yeye anasemaje?Au agenda iliyopo sasa ni kuwatembelea viongozi wastaafu tu?
Maana kazi kubwa mpaka sasa ambayo inafanyika ni ile ambayo wataalamu na wachambuzi wengi wa siasa za vyama vya siasa Tanzania walitarajia, kazi ya kuwavua uanachama, kuwaengua kwa fedheha viongozi watendaji wa chadema waliokua chini ya uongozi wa mwenyekiti wa zamani, jambo ambalo linazidisha na kuendeleza uhasama, chuki na migawanyiko zaidi miongoni mwa wanachadema wa kambi zilizokua zinawania uongozi wa chadema kitaifa.
Matarijio mengine ambayo wabobevu wa siasa za Tanzania waliangazia kuyaoni yakichochewa na kusababishwa na uongozi mpya wa chadema, ni pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali wa chadema kujiengua kwa hiyari zao na kujiunga na vyama vingine kukwepa siasa za fujo zilizokosa ustaarabu, maandamano, migomo, matamko na press conference zisizo na tija, vitu ambavyo vimewekwa kama vipaumbele muhimu vya uongozi mpya wa chadema.
Kipaumbele cha chadema kwa sasa ni kuwaengua uanachama wanachama wake hasa wale waliokua wanamuunga mkono kiongozi wa zamani wa chadema taifa kwa chuki na hila hila binafsi, kuwasimamisha na kufukuza uanachama wale wote wenye mawazo tofauti na ile ya mwenyekiti halafu kwenye media wanadaini ni uhuru wa kutoa maoni.
Nini mtazamo wako kama mdau wa demokrasia za vyama vya siasa nchini?
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Wewe ni mchambuzi mbobevu wa maswala ya siasa Tanzania? Good grief !!!! As in a senior political analyst? Mkuu amka usingizini...
relax gentleman,Wewe ni mchambuzi mbobevu wa maswala ya siasa Tanzania? Good grief !!!! As in a senior political analyst? Mkuu amka usingizini...