Pre GE2025 Kwa mtazamo wako CHADEMA chini ya uongozi mpya imeparalyse au imepoteza dira na uelekeo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sasa CCM iweke nguvu kukabiliana na CHAUMMA kwa sababu ndo chama cha upinzani chenye nguvu kilichobaki. CHADEMA is no more.
 
gentleman,
Je
uongozi mpya wa chadema Taifa umeparalyse, umepoteza dira na uelekeo?

Ikiwa sivyo,
elezea wadau bila kubababika wala kuhamisha magoli kwenye vyama vingine vya siasa πŸ’
Unakuwaje na mamlaka ya kujadili ya vyama vingine kama katiba tu ya chama chako umeshindwa kuifuata?

Usitafute madhaifu ya jirani wakati ya kwako hujayatatua
 
Kama katiba ya chama tu mmeshindwa kuifuata, hiyo ya chama mtaweza?
Mimi nadhani you got to deal with ccm kabla ya kuanza kunyoosha vidole kwa wengine.
Kuna namna ccm inazidi kuwapa hasira watanzania.
CHADEMA ndio inawapa hasira kali sana watanzania ya kuiadhibu kwa bakora kali sana kwenye sanduku la kura Uchaguzi ujao. Watanzania wanasikitika kuona CHADEMA limegeuka kuwa genge la madalali na wachumia tumbo
 
Mchakato wa kumpata mgombea wa ccm ulifuata kanuni gani? Acha kuleta ujuaji wako kwa kujali hilo tumbo. Ccm wamekuwa genge la walafi na wahuni tu.
 
Tusubiri oktoba ndo tutajua imepoteza dira au la
 
Mchakato wa kumpata mgombea wa ccm ulifuata kanuni gani? Acha kuleta ujuaji wako kwa kujali hilo tumbo. Ccm wamekuwa genge la walafi na wahuni tu.
Hakuna kifungu kilichovunjwa na kukiukwa. Kama una hasira kunywa Sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani.
 
mihemko na makasiriko dhidi ya hoja mahususi mezani, ni umaskini mbaya sana wa fikra, pole gentleman,

Na kuwaza mauti ni imani potofu ya ushirikina πŸ’
Acha kubwaja bwaja wewe hopeless kima, kafanye vibarua.
 
Hakuna kifungu kilichovunjwa na kukiukwa. Kama una hasira kunywa Sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani.
Pole kwa kupanic mkuu,
Ila faida unayo wewe unayelamba makalio ya wenzako kwa kusifu na kuabudu kila kitu?

Siku watu wakiamka usingizini ndio utajua kwamba ccm uaikubaliki hata kidogo, wanafiki na wachumia tumbo kama wewe mnajulikana.
 
Unakuwaje na mamlaka ya kujadili ya vyama vingine kama katiba tu ya chama chako umeshindwa kuifuata?

Usitafute madhaifu ya jirani wakati ya kwako hujayatatua
Gentleman,
mamlaka zote za dunia hii zimetoka kwa Mungu.

kama mchambuzi muandamizi mbobevu katika siasa za Tanzania ni haki, uhuru na wajibu wa wa kuibua, kuchambua na kwakweli kueleza ukweli wa wazi kabisa unaoendelea ndani ya vyama vyote vya siasa nchini hususani chadema,

kwahiyo tuliza mihemko na makasiriko, jadili hoja mezani ikiwa una unga mkono hoja ama vinginevyo, kuliko kumbwelambwela bila hoja humu jukwaani πŸ’
 
Wewe ni mchambuzi mbobevu wa maswala ya siasa Tanzania? Good grief !!!! As in a senior political analyst? Mkuu amka usingizini...
 
Muulize Choice yeye anasemaje?
 
Wewe ni mchambuzi mbobevu wa maswala ya siasa Tanzania? Good grief !!!! As in a senior political analyst? Mkuu amka usingizini...
Gentleman,
just relax ikiwa umefikia ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala,

au una enjoy kua na conversation na mtaalamu muandamizi wa siasa?

Jitahidi basi kujikita kwenye hoja mahususi mezani πŸ’
 
Wewe ni mchambuzi mbobevu wa maswala ya siasa Tanzania? Good grief !!!! As in a senior political analyst? Mkuu amka usingizini...
relax gentleman,
I told you before ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala na bora zaidi ya hoja iliyotolewa mezani,

Inapendeza ukikaa kimya tu gentleman πŸ’
 
Acha kubwaja bwaja wewe hopeless kima, kafanye vibarua.
Relax gentleman,
mihemko na makasiriko sio dili ikiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahusisi mezani πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…