Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una uhakika alikuwa akimtazama bibi
Harufu ya kwapa alivyonyanyua mkono yamtesa mtoto,nako hako si kaondoke hapo jaman☹️
Dah hata picha hauoni mkuu?🤣🤣🤣una uhakika alikuwa akimtazama bibi
Umeandika comment ukiwa wapi..."Bibi unashangilia tu hapa na hatujala" 😔
Nipigie baadae, napika....😹Umeandika comment ukiwa wapi...
Nakupenda mpaka nakupenda tena,nipo townNipigie baadae, napika....😹
Kwa vumbi na mchoko etiHiyo picha hao watu it seems like wameokokotwa kufika hapo
Umeona kweli kuna tabasamu usoni kwa huyo mtoto?Muhimu furaha tu, haidhuru ni pito la namna gani mtu anapita ila ikiwepo tabasamu kwenye uso wake ni kiashiria bado yupo na furaha ndani mwake ambayo ndio ujumla wa maana nzima ya maisha.
Nilikuwa namkusudia huyo mama ndugu yangu.Umeona kweli kuna tabasamu usoni kwa huyo mtoto?