Kwa mtazamo wangu, 2Baba (zamani 2Face) na P Square ni moja ya wasanii bora Nigeria

Kwa mtazamo wangu, 2Baba (zamani 2Face) na P Square ni moja ya wasanii bora Nigeria

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,523
Reaction score
5,159
Nikiangalia muziki unaoimbwa Nigeria 🇳🇬 miaka ya hivi karibuni na nikitupia macho muziki wa kina 2Baba (zamani 2face idibia), P Square hawa jamaa waliimba kwelikweli.

IMG_0720.webp
Hawa jamaa walikuwa na vipaji haswa vya uumbaji, sio ubabaishaji tunaa uona sasa hivi..
P Square soko lao lipo sana kama wangeacha tofauti zao na kufanya kazi.

IMG_0721.webp

Ogopa mtu anaeimba kila aina ya style, melody ujue kabisa huyo mtu ana kipaji, mtazame Rude boy anavyotawala.

Sasa hivi Nigeria zimebaki kelele na sio mziki, na kwakuwa mziki unabeba na hizi social media basi hakuna namna.
 
p square noma sana kwa nyimbo kama
no one like you
bank alert
temptition
ihe geme
do me
nawakubali sana hawa jamaa.na 2baba ile ya dance in the rain..
 
Kila waimbaji na wakati wao... Ndio nitakubalia hilo

Sio mix mix na wengine nyimbo moja mbili kuvuma.. Eti.. Kuna mengi ndani yake
 
Kuna ngoma yao moja inaitwa biz body

Ile ngoma kwenye kila movie ya Nigeria ilikuwa kama ni club inapigwa

Jamaa walikuwa miaka ya mbele sana ubaya walikuwa hot enzi ambazo social network ilikuwa sio kivile lakini bado wakatoboa.

Sasa sikuhizi eti asake sijui nani tena tabu tupu
 
Umeniwahi nilikua nataka nikomenti hivi hivi busy body...
 
Kuna ngoma yao moja inaitwa biz body

Ile ngoma kwenye kila movie ya Nigeria ilikuwa kama ni club inapigwa

Jamaa walikuwa miaka ya mbele sana ubaya walikuwa hot enzi ambazo social network ilikuwa sio kivile lakini bado wakatoboa.

Sasa sikuhizi eti asake sijui nani tena tabu tupu
Biz body dahh nilikuwa Nina iplay muda wote aisee
 
Back
Top Bottom