Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Hilo goma hatari sana mkuu kwanza beat lake tu nomaBiz body dahh nilikuwa Nina iplay muda wote aisee
Hilo goma hatari sana mkuu kwanza beat lake tu nomaBiz body dahh nilikuwa Nina iplay muda wote aisee
Jamaa walikuwa miaka ya mbele sana haoUmeniwahi nilikua nataka nikomenti hivi hivi busy body...
2baba, 2face idibiaSikujua kama 2face alibadili jina
List safi mkuu, Kwa wanawake namkubali Sana Tiwa Savage, wa muda wote.1. 2Baba
2. P-Square
3. D'Banj
4. Burna Boy
5. Wizkid
6. Davido
7. Flavour
8. Olamide
9. Tekno, Kizz Daniel
10. Rema, Asake, Ayra Starr.
Mbona J martin mmemsahau?Hawa uliokusanya labda D'banj, lakini waliobakia hapo ukisema ugonge nyimbo 5 kila mmoja hakuna wa kufikia wale P_square
J martin umemsahau....1. 2Baba
2. P-Square
3. D'Banj
4. Burna Boy
5. Wizkid
6. Davido
7. Flavour
8. Olamide
9. Tekno, Kizz Daniel
10. Rema, Asake, Ayra Starr.