Hii list umeipangilia na kuipatia kwa 100%1. 2Baba
2. P-Square
3. D'Banj
4. Burna Boy
5. Wizkid
6. Davido
7. Flavour
8. Olamide
9. Tekno, Kizz Daniel
10. Rema, Asake, Ayra Starr.
Hata mimi nilikua sijuiSikujua kama 2face alibadili jina
Hebu hapo katikati mtoe huyo muumini wa P Didy bila yale mafuta ya upako hakuna kitu angefanya.1. 2Baba
2. P-Square
3. D'Banj
4. Burna Boy
5. Wizkid
6. Davido
7. Flavour
8. Olamide
9. Tekno, Kizz Daniel
10. Rema, Asake, Ayra Starr.
Hawa uliokusanya labda D'banj, lakini waliobakia hapo ukisema ugonge nyimbo 5 kila mmoja hakuna wa kufikia wale P_square1. 2Baba
2. P-Square
3. D'Banj
4. Burna Boy
5. Wizkid
6. Davido
7. Flavour
8. Olamide
9. Tekno, Kizz Daniel
10. Rema, Asake, Ayra Starr.
hii list bila wale jamaa wa BRACKET waliopga vibao vikali kama yoriyori, iyeri, you & me, my dear nk bs hii haijakamilika.1. 2Baba
2. P-Square
3. D'Banj
4. Burna Boy
5. Wizkid
6. Davido
7. Flavour
8. Olamide
9. Tekno, Kizz Daniel
10. Rema, Asake, Ayra Starr.
P'square walitisha sanaaa, walikua π₯.
Sanaaaaa!!Temptation and Do me,, zilinibamba sio kidogo. Gone are the days.
Haya ndio tumekataa1. 2Baba
2. P-Square
3. D'Banj
4. Burna Boy
5. Wizkid
6. Davido
7. Flavour
8. Olamide
9. Tekno, Kizz Daniel
10. Rema, Asake, Ayra Starr.
Umeniwahi nilikua nataka nikomenti hivi hivi busy body...Kuna ngoma yao moja inaitwa biz body
Ile ngoma kwenye kila movie ya Nigeria ilikuwa kama ni club inapigwa
Jamaa walikuwa miaka ya mbele sana ubaya walikuwa hot enzi ambazo social network ilikuwa sio kivile lakini bado wakatoboa.
Sasa sikuhizi eti asake sijui nani tena tabu tupu
Acha kabisa Jamaa ana vocal Kali sana2face ngoma yake ile ya
If love is a crime
Naikubali ingawa ya mapenzi ila kali sana!
Biz body dahh nilikuwa Nina iplay muda wote aiseeKuna ngoma yao moja inaitwa biz body
Ile ngoma kwenye kila movie ya Nigeria ilikuwa kama ni club inapigwa
Jamaa walikuwa miaka ya mbele sana ubaya walikuwa hot enzi ambazo social network ilikuwa sio kivile lakini bado wakatoboa.
Sasa sikuhizi eti asake sijui nani tena tabu tupu