Kwa mtazamo wangu hii ndo mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya walevi

Kwa mtazamo wangu hii ndo mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya walevi

Iringa na dodoma ziweke moja ya tatu nyingine ya nne

Mwanza watoe hapo vijana wa mwanza wako makini mwanza pombe wanakunywa wazee
 
Ungeishia number Tano
Halafu dar na mbeya zitoe hii dar Haina walevi Ina watu wanaoenda bar na wanaishia kula matunda mara kucheza mziki n.k
Pombe inanywewa 1.Kilimanjaro 2.Arusha 3.Iringa 4.Manyara 5.Njombe
Manyara imejaa wasabato,pombe gani wanakunywa?
 
hiyo mikoa ya arusha na kilimanjaro walevi ni wengi sana wanajisaidia hovyo mitaani kama mbwa
 
Kilimanjaro ndo mkoa unaongoza kwa wanywaji wa pombe,lakini ndo mko ambao wananchi wengi wameelimika na wanamaendelo binafsi!
South africa pia ni nchio inayoongoza unywaji wa pombe Africa,ndo nchi tajiri zaidi Africa!
Mpaka apo akili kichwani.
 
Kama huzungumzii pombe za kienyeji weka Mtwara kwenye top 5 hapo
 
Kilimanjaro ndo mkoa unaongoza kwa wanywaji wa pombe,lakini ndo mko ambao wananchi wengi wameelimika na wanamaendelo binafsi!
South africa pia ni nchio inayoongoza unywaji wa pombe Africa,ndo nchi tajiri zaidi Africa!
Mpaka apo akili kichwani.
nchi nzima inawasomi meku acheni kujifariji hapo shimbwe
 
Back
Top Bottom