Kwa mtazamo wangu hii ndo mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya walevi

Hii sehemu sito kaa ninywe pombe, mwaka 2018 nilifika sehemu inaitwa mafinga (kinanambo sijui) nakumbuka tulianza kunywa saa mbili hadi alfajiri, spirits zilikuwa nyingi zaidi cha ajabu nilikuwa najiona silewi kabisa. Mwanangu akaniambia kesho utajua nini unafanya leo. Baada ya pale nilienda kulala, aysee kesho yake saa saba wananinywesha supu kama mtoto, sielewi kabisa
 
Nachojua ni kwamba mikoa yenye walevi wengi ni ile ambayo pombe aina ya mbege, ulanzi na baba lao gongo (piwa) inapatikana.

Gongo (piwa) ni kumanyoko sana!
 
Kama Ruvuma haipo rudia tafit Yako.

Mbeya haiwez kuwa juu ya Iringa na Njombe
Nimeshangaa, eti wakunyumba hatupo ktk list, akati Mbeya, Iringa na Njombe, zinasubiri kwa sisi.

Komoni, myakayaa, ulanzi, sawani, wanzukii, aaah wee.
 
Hii sehemu sito kaa ninywe pombe, mwaka 2018 nilifika sehemu inaitwa mafinga (kinanambo sijui) nakumbuka tulianza kunywa saa mbili hadi alfajiri, spirits zilikuwa nyingi zaidi cha ajabu nilikuwa najiona silewi kabisa. Mwanangu akaniambia kesho utajua nini unafanya leo. Baada ya pale nilienda kulala, aysee kesho yake saa saba wananinywesha supu kama mtoto, sielewi kabisa
😂😂😂😂😂
 
Nachojua ni kwamba mikoa yenye walevi wengi ni ile ambayo pombe aina ya mbege, ulanzi na baba lao gongo (piwa) inapatikana.

Gongo (piwa) ni kumanyoko sana!
Hahah hii kuna kipindi niko Arusha nilikunywa kama mara tatu. Ina utamu zaidi ya konyagi ila harufu ya matunda tunda ni kali sana. Yaani unanuka mdomo,Jasho na mkojo kinoma noma. Haina siri hii pombe
 
Hata mimi nimekunywa sana mkuu lakini ukizidisha inakuua maana kilevi chake ni cha kiwango cha SGR.
 
Yaani hapo mwisho Top5 huko kwingine rashaa tuu waoga.
 
Bila kuitaja Singida hapana, Hapa Vijana wamekithiri kwa ulevu tena wa visungura alfajir washafika kwa mangi apimiwe
 
Iringa na dodoma ziweke moja ya tatu nyingine ya nne

Mwanza watoe hapo vijana wa mwanza wako makini mwanza pombe wanakunywa wazee
Ni kweli, Mwanza vijana wako bize kufilana na ng'ombe maporini, hawana muda na pombe.
 
Back
Top Bottom