Pre GE2025 Kwa mtazamo wangu Mbowe na Lissu ni vita zaidi ya nje kuliko ya ndani. Ni mwendelezo wa Zitto na Maria Sarungi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii Nchi iko Stable?! Wakati Watu wanatekwa na kuuwawa na wengine kuikimbia Nchi stability gani hiyo?.

Na kama Uchaguzi wa ndani CHADEMA hautakuwa HURU na HAKI ukigubikwa na RUSHWA au UKABILA basi namshauri Lissu afungue Chama tutamfuata.
Mbona umeanza kutupa taulo nyeupe mapema. LISU hawi Mwenyekiti wa Chadema kama Mwenyekiti Mbowe atagombea.Akigombea Lisu is cooked.
Komaa kamanda huu ndio uhalisia
 
Mbona umeanza kutupa taulo nyeupe mapema. LISU hawi Mwenyekiti wa Chadema kama Mwenyekiti Mbowe atagombea.Akigombea Lisu is cooked.
Komaa kamanda hii ndio uhalisia
RUSHWA za huyu Mama zimeshaingia CHADEMA ndo maana tunamtaka Lissu akifanyie Reforms Chama ikiwemo kuweka ukomo wa uongozi nk.

Halafu ndio tuanze kudili na huyu Mama mpaka tupate KATIBA BORA.
 
Chief hata Kwahiyo confrontation na radicalism, CHADEMA hawajawahi kuifanya? Je Maria Sarungi amewahi kuonekana in an any of those incidents? In fact mara nyingi alikuwa akipinga na kuwaita chama cha maandamano. Ukitazama mwenendo wa yote, ni kama uivyoeleza. Maria ni ‘set up’ activist. Unfortunately, kwasababu ya CHADEMA kukosa institutions za kuwapa livelihood vijana wadogo wanaojoin politics, this has been the loophole.
 

Siasa za diplomasia ya Mbowe zimetufikisha wapi mpaka sasa?

Hao wanachadema wanaotekwa na kupotezwa je siasa za Mbowe mbona hazikuwasaidia?
 
Unachosema hapa ni generally kauli za akina Dr Slaa na timu nyingine ambazo ni wahanga wa michakato ya kisiasa ndani ya CHADEMA au wanaharakati “pandikizi” na mslahi kama akina Maria Sarungi. Hebu toa ushahidi mmoja tu kwamba CHADEMA with all its institutional buildup enough to shake CCM hadi kukifanya kiogope sanduku la kura kabisa ni saccos. Hivi kama kweli una mapenzi na siasa za upinzani na umeshuhudia institutional strengthening ya CHADEMA over the years, unaweza bado kukiita ni SACCOS?
 

nonsense
 
Hakuna mahali nimesoma iko stable…read me. Ninachosema, akina Maria Sarungi and co. they wish setbacks katika opposition build up ku maintain hali ilivyo. Instability na chaos idumu , maana inampa mkate na maslahi. Kilipofikia sasa CHADEMA ni stable enough kukifanya CCM kiogope uchaguzi kabisa. Kazi hiyo si ndogo. Focus ni kuvuka hapo
Hii Nchi iko Stable?! Wakati Watu wanatekwa na kuuwawa na wengine kuikimbia Nchi stability gani hiyo?.

Na kama Uchaguzi wa ndani CHADEMA hautakuwa HURU na HAKI ukigubikwa na RUSHWA au UKABILA basi namshauri Lissu afungue Chama tutamfuata.
a
 
Dw. Fortilo umeandika point za maana sana.Ni lazima Lissu aelewe kuwa Bila Mbowe kutaka au kuridhia , hawezi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA hata azikiri uchiiii ! Mbowe is a king maker !
 
Reactions: Tui
Wewe unaetaka reforms CHADEMA kwani wee nani huko CHADEMA ?? Mbona hutaki reforms CCM na kule bungeni ??
 
Lissu / Mbowe bado chama kinawahitaji ,ila wasiwe na viburi kwamba ndo wapo na uwezo mkubwa kuliko wengine, chadema kuna watu wapo na uwezo kuwazidi wao ,nani alijua Mzee kibao ( R.I.p)alikua mtu muhim ndani ya chama tena sana.

So cha msingi busara itumike tu ,ila sio kwamba Mbowe ,au lissu kama sio viongonzi basi hakuna watu wakuvusha chama ichi.

Uyu Maria binafsi kwa jicho la tatu yupo na unafiki,
 
Best guess comes from reading the trend.. ndio maana tunaita political talks...

Unless una muda tuzungumze Chemistry
Katika mambo ya hoja base kwenye fact zaidi,Logic inahusika ni branch of philosophy,and philosophy is the mother of all subjects all over the world,wataalamu wote duniani, fan zote duniani ni zao la PHILOSOPHY, logic ni branch yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…