Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #21
Mh...!sasa mwaka huu matokeo halisi tutayajua ole wenu mdanganye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh...!sasa mwaka huu matokeo halisi tutayajua ole wenu mdanganye
patachimbikaMh...!
Jikite kwenye hoja. Pachimbike hata kura laki mbili hapati Lissu.patachimbika
kama ni laki mbili kweli hamna shida, pamoja na sgr na flyover na mandege watu wanataka haki ya kumchagua kiongozi wamtakaye.Jikite kwenye hoja. Pachimbike hata kura laki mbili hapati Lissu.
Hiyo ni kazi ya TUME YA TAIFA YA UCHAGUZIbasi mtupe uhuru wa kujumlisha kura za urais msituvamie.
Mmezuiwa kwenda mahakamani na kuweka order (Habeas corpus) ili mnaosema wamemteka wamlete?
Hiyo ni kazi ya TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
Hebu kuwa precisely, wabunge walipigwa risasi wangapi? Magazeti mangapi yamefungiwa? Uwanja wa ndege Chato una shida gani? Huoni kuwa ni kwa ajili ya wananchi?Mazuri gani? Kuteka watu, kuua wapinzania, kipiga wabunge risasi, kuminya na kufungia vyombo vya habari, kujenga uwanja wa ndege chato. Shame on you!
Waliobomolewa Kimara walipewa maeneo hayo na serikali hiyo ya ccm ambayo ilirudi tena kuwabomolea.Kuna maswali nimeuliza. Nafikili ungeli yajibu ingekuwa ni sawa. Mfano nipe jibu moja tu. Waliobomolewa kimara walikuwa kwenye hifadhi? Sheria inasemaje? Tanzania hakuna uhuru wa kufanya kazi? Uhuru wa kujieleza? Jikite kwenye mada.
hivi wale mawakala wanaokuwa kwenye vituo vya kupigia kura huwa ni vipofu mpaka mseme mnaibiwa kura??
Walipewa na serikali na haijawalipa fidia? Hao unaosema walipotea una uhakika 100% ni serikali inahusika? Maana kuna mtu alimpiga beat Kubenea juu ya Ben Saanane. Hali ya maisha kuwa ngumu ndio uhuru wa kufanya kazi haupo? Nina mashaka na wewe...Waliobomolewa Kimara walipewa maeneo hayo na serikali hiyo ya ccm ambayo ilirudi tena kuwabomolea.
Kuhusu uhuru wa kujieleza ni dhahiri unajua kilichowakuta kina Ben saa 8,Azori,Lissu et al.
Uhuru wa kufanya kazi hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja ni ushahidi tosha;ni ngumu mno mtaani.
Endeleeni kujitoa ufahamu kama mazuzu.
Waliobomolewa kimara walishalipwa tangu miaka ya themanini. Lile ni eneo la hifadhi ya barabara.Waliobomolewa Kimara walipewa maeneo hayo na serikali hiyo ya ccm ambayo ilirudi tena kuwabomolea.
Kuhusu uhuru wa kujieleza ni dhahiri unajua kilichowakuta kina Ben saa 8,Azori,Lissu et al.
Uhuru wa kufanya kazi hali ya
U maisha ya mtu mmoja mmoja ni ushahidi tosha;ni ngumu mno mtaani.
Endeleeni kujitoa ufahamu kama mazuzu.
Kama hujaelewa kaa kimya.Kajifunze kwanza kuandika labda ndio tutakuelewa.
Kama walilipwa miaka ya themanini waliwezaje kujenga tena maeneo hayo huku serikali ya ccm ikiwemo?Waliobomolewa kimara walishalipwa tangu miaka ya themanini. Lile ni eneo la hifadhi ya barabara.
Uhuru wakujieleza upo tana sanaa, hakuna uhuru wakutukana.
Uhuru wakufanya kazi ndio umebugi kabisaa! Mtanzania anafanya kazi popote muda wowote ili mradi kazi iwe halali.
Endelea kulala na uvivu wako huku ukiilalamikia serikali. Msosi utakufuata hapo ulipo. Wenzio tulishagoma kuajiliwa na maisha yanasonga raha mustarehe.
Mtanzania hii ni kawaida yake. Akilipwa ili kuhama eneo husika haondoki kwa wakati mwisho atatafuta fala amuuzie. Vile viwanja havikuwa na hati miliki sababu sio halali.Kama walilipwa miaka ya themanini waliwezaje kujenga tena maeneo hayo huku serikali ya ccm ikiwemo?
Hadi gorofa la Tanesco linaanza kujengwa serikali ya ccm ilikuwa haioni!!!
Kuhusu kufanya biashara/ kazi swala ni mazingira si rafiki,hali halisi unaijua "vyuma vimekaza",uzuri ni kila mtu anaisoma namba.
Kuna kundi dogo sana mnaotukuza kwa mapambio mnaofaidi japo ndugu zenu wengi wanateseka kwa gharama ya ujinga wenu,endeleeni!