citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Acha watapata majibu October
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa ya watz 5 yrs,kuumizwa,kuteswa kwa watz 5 yrs ni kibebeo tosha bila hata sera,kuirudisha Tena ccm ni kurudisha kuteswa tena,kuumizwa tena,kubomolewa nyumba yako,kuuwawa,kubambikwa kesi,kufa njaa,kila mtu uogopa yatakayomkuta milele.Mmezuiwa kwenda mahakamani na kuweka order (Habeas corpus) ili mnaosema wamemteka wamlete?
Nusrat na wenzake wako wapi mpaka sasa?Kuna maswali nimeuliza. Nafikili ungeli yajibu ingekuwa ni sawa. Mfano nipe jibu moja tu. Waliobomolewa kimara walikuwa kwenye hifadhi? Sheria inasemaje? Tanzania hakuna uhuru wa kufanya kazi? Uhuru wa kujieleza? Jikite kwenye mada.
Ulitaka ujengewe uani kwenu? Au ulitaka itekelezwe vipi?Mkuu ahadi ya viwanda iko wapi?
Taja tu viwanda 7 vilivyojengwa na utawala wa mzee nikutumie buku 10 posho leo upate 17Ulitaka ujengewe uani kwenu? Au ulitaka itekelezwe vipi?
Huna akili timamu,kwani ukisikia sera ya viwanda ndio unajua serikali inajenga viwanda.Taja tu viwanda 7 vilivyojengwa na utawala wa mzee nikutumie buku 10 posho leo upate 17
vyerehani usihusishe