Kwa mtazamo wenu, ni changamoto zipi zinazohusiana na liquid fund?

Kwa mtazamo wenu, ni changamoto zipi zinazohusiana na liquid fund?

Naona leo kuna tatizo kwani hata kuangalia salio inagoma unapata msg "Ombi batili.Muamala wako ni XXX."
 
Nimefanikiwa kuongea na huduma kwa wateja tatizo langu limeshughulikiwa sina nimeridhika
 
Niliweka mil 7 mfuko wa liquid fund badae nikatoa laki 5 ikabaki 6.5m. Leo nimetoka kuongalia nimekuta 5.576m wakati jana ilikuwa 6.51m

Tatizo nini?
Katoe haraka zilizobaki.. Toa zote fasta usije ukaambulia mabua na mayowe
 
Hujasema umewekeza kwa mda gani? Na ulitumikia muda wako?.
ALL the best
 
Msipende kuleta taharuki kwa jambo ambalo hauna nalo ELIMU YAKE.
 
Back
Top Bottom