pesa yako inatumika katika uwekezaji. usiwe na hofuNiliweka mil 7 mfuko wa liquid fund badae nikatoa laki 5 ikabaki 6.5m leo nimetoka kuongalia nimekuta 5.576m wakati jana ilikuwa 6.51m tatizo nn
Nimefanikiwa mkuuLakini ungewapigia huduma kwa wateja
Katoe haraka zilizobaki.. Toa zote fasta usije ukaambulia mabua na mayoweNiliweka mil 7 mfuko wa liquid fund badae nikatoa laki 5 ikabaki 6.5m. Leo nimetoka kuongalia nimekuta 5.576m wakati jana ilikuwa 6.51m
Tatizo nini?