Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

pole mwenzangu, wanasema hata wenye ukimwi wana haki ya kutongoza, kama humtaki unamwambia sikutaki tu tena nimeolewa ukatafute wengine. Mimi pia nimefuatwa na jibaba linaniambia eti tutatumia dawa ya penzi!!!!! nimemwambia asiniulize tena maana akinikaribia tu namrecord halafu nampleleka polisi kwa kunibughuzi

Umenifanya nicheke mkuu...mie nimejibu kwa kuelewa uzi alioanzisha DA.

Pitia post zangu mie ni mwanaume na DA amejipambanua kama mwanamke.

Post zako zinaonyesha wewe ni SHE! Idd Mubarak Dena

humu ndan si kuna mafala kibao mtu anachosema katongozwa na mbaba anaeish na vvu so kwa aikil yko hyo mbaba anatka nn kama sio ku spread kuwen na akili mtuanapotoa hoja huna point acha kuchangia wehu nyieeeeee ambao mnakurupuka tu kama bao la kwanza shenziii nyoooooo

na ww ndo mwathrka mwnyw..mbn umepanic.kuwa na busara ww.

Yani huyu ni muuaji kabisa, tena infaa afunguliwe kesi ya jinai na afungwe kifungo cha maisha akamalizie muda wake wa kuishi hapa duniani akiwa jela. Pumbafu sana huyu. Imenikasirisha sana.

Yani huyu ni muuaji kabisa, tena infaa afunguliwe kesi ya jinai na afungwe kifungo cha maisha akamalizie muda wake wa kuishi hapa duniani akiwa jela. Pumbafu sana huyu. Imenikasirisha sana.

Hapo sitiii neno kabisa

Sasa Dena, si umpe tu mwenzio ana kiu........... Umepewa bure, toa bure.

Nikikukamata wewe??? si unajua mambo zangu??? Wewew................
Si mnafanya fasta afu mnawahi bafuni kuoga na maji ya moto kama Jacob zuma?...............Mpe mtoto wa mwanamke mwenzio huyo!

Back
Top Bottom