Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Kwa mtindo huu UKIMWI hautakwisha!

Pole sana Dada Dena , nakushauri umpe cheupe kulko tena umwambie Asirudie kwako au hata ikwa mtu mwingine, hii ni hatari sana hebu jiulize ikiwa wewe unajua hali yake na amewza kukutongoza vipi wale ambao hawamjui hali yake.

Hivi hakuna sheria ambazo zina wabana watu wanmna hiyo,Amefanya jambo baya sana anastaili si kutukanwa tu bali kupigwa kabisa.

humu ndan si kuna mafala kibao mtu anachosema katongozwa na mbaba anaeish na vvu so kwa aikil yko hyo mbaba anatka nn kama sio ku spread kuwen na akili mtuanapotoa hoja huna point acha kuchangia wehu nyieeeeee ambao mnakurupuka tu kama bao la kwanza shenziii nyoooooo

Mwehu na **** utamjua tu!

We ulishawai kutongoza/kutongozwa? kama kweli unaelewa ukimwi ni nini utajua jua cha kufanya hapa!
humu ndani watu wanapiga kelele hata afya zao hawazijui na kila siku wanatongoza na kutongozwa

Kutongoza na kutongozwa sio jambo la ajabu mkuu...ila nimesaeleza hapo mwanzo kuwa huyu jamaa hathamini afya yake na za wanaomzunguka.
Na kuhusu kusema watu wanapiga kelele bila kujua afya zao,una justification gani kuwa hawajui?

nakupa pole dada yangu kweli inauma sana hasa unapokutana na mwaume na mwanamke wana tamaa kama hizi inakuwa ni aibu sana na janga kwa dunia. nakuomba kemea shetani huyo wala usidhubutu kuwa naye karibu kimwili

Ukimwi sio ugonjwa, bali ni UKOSEFU WA KINGA MWILINI. Ifike mahali tuone ni hali ya kawaida. DA msamehe tu, wala hukupaswa kumtangaza. Mwonyeshe upendo na kumuelimisha kama ambavyo ungemwelimisha mtu mwingine asiyekuwa na UKIMWI. Zinaa si kitu chema kwa watu wote wacha MUNGU. Niliwamiss!

Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................

Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini......................
Nimemshangaa sana jana kunipigia simu na kuniambia ananipenda wakati ana jua fika kuwa nina mume na watoto.....................

Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??

Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa............................................

Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??

Au nini hasa???

Nilijikuta nataka/natamani kumtukana lakini namuheshimu maana ni sawa na Baba yangu kabisa..................................
Najiuliza kama anaweza kunitongoza mimi ambaye namjua kuwa anaishi na VVU je kwa wasichana wengine wasomjua???...................

Kweli UKIMWI hautakwisha TZ kwa mtindo huu........................................
Wajameni tuwe makini sana......................

Cheers

DA

Usishangae ndo tulivyo. Wengi tukisaidiwa na kusaidiwa huhisi mdada anafikiri kama wewe, extra mile! Kuna wengine hutafuta 'soft lending' pia. Mfano, nikituma msg ukijibu positively, naenda mile moja.

Muelimishe, anakutest tu akuone, ila ukijilegeza tu, inakuwa live.

Ukimwi hauwezi kuishi, na utasalimika ukimwi pale utapokufa bila ukimwi.

My concern ilikuwa why anitake??? Cause kuwa na HIV si kwamba kunamzuia kupenda au kusikia hamu ya kufanya mapenzi but kwanini asitafute mpenzi wakaelimishwa na kuishi vizuri hata kama ni negative + positive?? Mimi ananitaka wa nini kama sio kuniharibia?? Hazuiwi kupenda wala kuwa na mpenzi lakini ananitaka nifanye nae nini??? Ngono then what next?? Aaaahhh bana haifai
hivi ni kweli DA hujawahi kutakwa tangu uolewe? Naona kama unataka kumuhukumu baba wa watu ndivyo sivyo.. Ana haki ya kukutaka ila ni juu yako kukubali au kukataa. Suala la kuharibiana maisha hapa linatokana na wewe kumkubalia ombi lake ama la.. hata hivyo kwa kuwa ana VVU sio kweli kwamba anaambukiza wengine.. ndio maana mnagawa au kusisitiza matumizi ya kondom.. au vp dada..

Maumivu ya kichwa huanza pooole pole, mkimbie...

ungekubali umkate mboo kabla ya ku-do!

hivi ni kweli DA hujawahi kutakwa tangu uolewe? Naona kama unataka kumuhukumu baba wa watu ndivyo sivyo.. Ana haki ya kukutaka ila ni juu yako kukubali au kukataa. Suala la kuharibiana maisha hapa linatokana na wewe kumkubalia ombi lake ama la.. hata hivyo kwa kuwa ana VVU sio kweli kwamba anaambukiza wengine.. ndio maana mnagawa au kusisitiza matumizi ya kondom.. au vp dada..

Inawezekana kabisa kuwa DA ametongozwa mara nyingi sana tu tangu aolewe...sio jambo la ajabu kabisa...ila kwa mtu anaefahamiana nae na anatambua kuwa DA ni mke wa mtu na yeye anajua HIV status yake hakutakiwa kumfuata kabisa.kwa mtu alie na HIV anatakiwa kujitunza ili asipate maambukizi mapya.
Anaweza kuwa na HIV 1 na akiendelea kufanya ngono zembe ataishia kupata na HIV 2 kitu ambacho kitafupisha maisha yake.
Kwa mtu alie HIV + pia hatakiwi kupiga show kama mtu asie na virusi.
Kiushauri anatakiwa kupata mwenzi mmoja ili awe awe peke yake na watumie condom.Sasa hili litawezekanaje na tayari DA ni mke wa mtu?

Kutongoza na kutongozwa sio jambo la ajabu mkuu...ila nimesaeleza hapo mwanzo kuwa huyu jamaa hathamini afya yake na za wanaomzunguka.

Na kuhusu kusema watu wanapiga kelele bila kujua afya zao,una justification gani kuwa hawajui?

Kumbe Sangara = Dena Amsi! Idd Mubarak

Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??

Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa....................................... .....

Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??

inatisha lakini labda kwenye mawazo yake akuona una sauti sana kwenye hiyo misaada kwa hiyo akifanikiwa kukutia kabali basi utampigia debe aendelee kutesa.......................yawezekana kabisa hafikirii vvu kuisambaza ila ni shida zake nyinginezo..........tatizo la wa bantu kupenda ni kauli ya kupeana ngono ndipo hapo shida inapoanzia..............................muumbue tu kwa niaba ya wote aliowatapeli...........usimwonee haya mtu mwovu mwaibishe kwa nguvu zote ulizonazo...............lol

Pole sana bibie najua inauma sana.ila ujue ndivyo binadamu walivyo ukimzoea kiivyo yeye akili yake inampeleka kwingine kabisa.

Unaweza kuta anajua kuwa wewe haujui kama ana ngoma!

Kumbe Sangara = Dena Amsi! Idd Mubarak

Umenifanya nicheke mkuu...mie nimejibu kwa kuelewa uzi alioanzisha DA.
Pitia post zangu mie ni mwanaume na DA amejipambanua kama mwanamke.

Back
Top Bottom