Umenifanya nicheke mkuu...mie nimejibu kwa kuelewa uzi alioanzisha DA.
Pitia post zangu mie ni mwanaume na DA amejipambanua kama mwanamke.
<br />Umenifanya nicheke mkuu...mie nimejibu kwa kuelewa uzi alioanzisha DA.<br />
Pitia post zangu mie ni mwanaume na DA amejipambanua kama mwanamke.
<br /><i>haemaphrodite</i> lady man ladies!
<br />humu ndan si kuna mafala kibao mtu anachosema katongozwa na mbaba anaeish na vvu so kwa aikil yko hyo mbaba anatka nn kama sio ku spread kuwen na akili mtuanapotoa hoja huna point acha kuchangia wehu nyieeeeee ambao mnakurupuka tu kama bao la kwanza shenziii nyoooooo
Si mnafanya fasta afu mnawahi bafuni kuoga na maji ya moto kama Jacob zuma?...............Mpe mtoto wa mwanamke mwenzio huyo!Nikikukamata wewe??? si unajua mambo zangu??? Wewew................