Kwa chaguzi hizi, ubora haukuwa ni muhimu. Muhimu ilikuwa ni kukata pesa kwa kundi fulani halafu unachaguliwa kwa wingi.nimeona clip ya babu tale akijinadi mbele ya wajumbe..nikajiuliza, hao wajumbe waliompigia kura wana akili timamu kweli!
Unaandika nadharia badala ya uhalisia uliojitokeza ktk chaguzi hizi kama mleta uzi anavyoeleza. Hujafahamu umaskini wa ufahamu na pesa walionao wajumbe ambao ndo waliopiga kura. Je, unafahamu baadhi waliazima sare ya chama ili wafike ktk mkutano? Unafahamu wengine walifika ktk vikao ili wapate posho ya sh. 15,000? Yaani wewe unaamini kuna chama, na elimu iliyotumika? TZ haijafika kwenye hatua hiyo unayoiota. Wajumbe wamemchagua mtu aliyewapa pesa nyingi, FINITO!Mara nyingi siasa haiendi hivyo labda kwa majimbo machache saana. Machache saana.
Mgombea anaweza kupigiwa kura kwa kufuata chama, elimu na Rais. Ni mara chache utaibadilisha taswira ya mpiga kura kwa maneno maneno ya mwezi mmoja eti akupigie kura.
Upigaji wa kura ni process...wapiga kura wanaandaliwa. Mfano mimi hata kabla ya kampeni ninajua nitampigia kura nani na kwanini. Hawezi kutokea mgombea yeyote akanibadilisha mawazo kirahisi.
Kwan wew kwa matamanio yako .ulitaka apewe nan? Wanasema unaemchukia humjui.nimeona clip ya babu tale akijinadi mbele ya wajumbe..nikajiuliza, hao wajumbe waliompigia kura wana akili timamu kweli!
ukiweza weka tuonenimeona clip ya babu tale akijinadi mbele ya wajumbe..nikajiuliza, hao wajumbe waliompigia kura wana akili timamu kweli!
Na ni kwa vile unawajua for some yrs back! Hivyo huwqezi kubadilishwa kwa kampeni! Maguffuli namfahamu, CCM naifahamu, leo siwezi kuipgia ccm!Mara nyingi siasa haiendi hivyo labda kwa majimbo machache saana. Machache saana.
Mgombea anaweza kupigiwa kura kwa kufuata chama, elimu na Rais. Ni mara chache utaibadilisha taswira ya mpiga kura kwa maneno maneno ya mwezi mmoja eti akupigie kura.
Upigaji wa kura ni process...wapiga kura wanaandaliwa. Mfano mimi hata kabla ya kampeni ninajua nitampigia kura nani na kwanini. Hawezi kutokea mgombea yeyote akanibadilisha mawazo kirahisi.
Kama una uhakika ya nini kutumia nguvu zote hizi?kapigie tu upinzaniNi hakika kwamba sisi wana CCM hatutawaunga mkono wagombea ambao hatukufaidika na kupitishwa kwao. Chama kijiandae kulazimisha matokeo. Watu hawa hawauziki kwa wanachama, wanauzika kwa wajumbe wachache waliopewa chochote.
Na hapo ndio utagundua ni kwa nini JPM anakubalika zaidi ya asilimia 90 wakati ccm inakubalika kwa asilimia 70 tu, hii ni kwa mujibu wa tafiti.Mkuu hiyo ndio ccm inayohadaa watu kuwa inapambana na rushwa, na wanashurutisha wananchi wakubali kuwa rushwa imeisha. Huwa tunasema ccm haiwezi kumaliza rushwa nchi hii, maana hiyo ni moja ya nguzo zao kuu za kukaa madarakani. Alichokifanya Magufuli ni kuminya uhuru wa vyombo vya habari, visitangaze habari za rushwa ili kuhadaa umma kuwa rushwa imemalizwa.
Na hapo ndio utagundua ni kwa nini JPM anakubalika zaidi ya asilimia 90 wakati ccm inakubalika kwa asilimia 70 tu, hii ni kwa mujibu wa tafiti.
Maoni yangu ili kuipunguza kama sio kuondoa hii tabia ya rushwa kipindi cha uchaguzi ni vyema watakao bainika kuwa walihonga wajumbe haijalishi walishinda au hawakushinda wafukuzwe uwanachama na kufunguliwa mashataka.
Hapana, hapo ni Chadema huwezi kupata viti maalum wala uteuzi bila rushwa kwa mwenyekiti!Rushwa ccm ni sawa na uji na mgonjwa.
Wagombea ambao hawakutoa Rushwa wengi wao Ni wale waliopata Kura moja, mbili au sifuri. Sasa unategemea kweli vikao vya juu viwaache wale tatu bora ambao wote Lazima walitoa Rushwa kwa wajumbe kwamba wampe nafasi mtu ambaye hakupata hata Kura moja?Nadhani chama kipo makini kitachunguza ni mgombea gani katoa rushwa kwa wajumbe au hata kama hajatoa rushwa, je anakubalika na hata kama anakubalika na wananchi
je, anaweza kuendana nskasi ya awamu ya tano?
Na kwa wale waliokuwa wabunge kisa wakaangushwa je,
wameangushwa kihalali? na je wanachi wanamaoni gani juu ya mbunge wao aliyeshindwa kwenye kura za maoni? Je aliyeshinda anauzika kwa wananchi kutokana na record zao za kiutendaji?. Ni dhahiri maoni ya wajumbe sio maoni ya wananchi.
Kuna jimbo huko Manyara vijijini limekuwa na wabunge amboa hawakuwa na msaada kabisa jimboni kwa miaka nenda rudi but kwa miaka kumi iliyopita alipatikana mtu Neutral ambaye angalau alifanikiwa kuleta usawa wa kimaendeleo jimboni na mara kwa mara amekuwa akitembelea jimbo kuhamasisha na kuchangia maendeleo lakini cha ajabu wajumbe wamemkataa ukifanya utafiti wa harakaharaka utagundua wananchi walio wengi bado wana imani naye sasa huu ni kama mtego kwa chama.
Watenda maovu wengi hujikinga kwa kutaka wapewe ushahidi. Unaambia kuna rushwa na pesa nyingi kutumika wewe unaomba ushahidi. Unamuomba nani? Kama chama ni chako na una lengo zuri la kupambana na rushwa ili tupate wagombea sahihi, kwa nini hufuatilii na badala yake unaomba ushahidi? Hizo ni dalili za kutojitambua.Je ni kweli wote wametoa rushwa, una uhakika na ushahidi?! Na kama hatutawachagua hawa waliopitishwa na CCM kwa kuwa sisi hatukupata rushwa hao mnaowasimamishwa nyie watakuwa wametupa rushwa?! Acha kupotosha! Watanzania ni welevu watafanya maamuzi sahihi.