safi sana..sasa .atuonyeshe na jumba lake la bilioni 2..........
Unaishi wapi mkuu?Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
tumechoka kudanganywa...mtu anavaa m2 wakati hata banda la kufugia kuku hanaAlitoe wapi?
Hivi hata kujumlisha na kutoa anaweza huyo?
wakora waituuu!!!!Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
Hiyo ni hela ndogo sana tena sana, lakini wakati huo una "Jumba lako" usafiri wa maana na vitega uchumi. Lakini sio umevaa 2m wakati unapanga huna gari wala kiduka cha kukuingizia pesa kazi kubadili wanaume tu na utegemee kuhongwa kisha unatuletea habari ya pesa uliyojivesha si uchizi huo.Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.