Kwa mtoko mmoja, Wema Sepetu anavaa vitu vyenye gharama ya zaidi ya milioni mbili

Moja ya kitu kinachomtofautisha mtu maarufu na wakawaida mara nyingi ni kujulikana kwake na mavazi anayovaa. Kwa mfano mzuri tu ni hapa Bongo watu wengi maarufu wamekua wakionekana nadhifu sana kwa kuvaa nguo za gharama.

Kwa mwananchi wa kawaida kununua nguo ya Laki moja ni jambo gumu sana ila kwa star kama Wema Sepetu ni jambo la kawaida sana. Akihojiwa katika EFM Radio Wema Sepetu alifunguka kua kwa kila siku anayotoka vitu anavyovaa gharama yake ni kama milioni 2 za kitanzania. Hebu mskie kwenye video hii hapa chini..

Yetumacho, unajua hawa hata ukachuka mtumba mzuri ukaufua ukauweka duka la viwalo ukamwambia umetoka London atanunua! kwa bei hiyo
 
Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
mkuu kumbe mkeo anavaa kikuku[emoji4] [emoji4] nilikuwa sijui
 
sawa
 
2000x2100=4,200,000x3
=12,600,000/= (huu ni urembo tu!)

Je na wewe ulipata mgao wa ESCROW???
 
2000x2100=4,200,000x3
=12,600,000/= (huu ni urembo tu!)

Je na wewe ulipata mgao wa ESCROW???
Haaaahaaaa, hapana kaka mimi siko ESCROW ni Mtanzania mwema sana, yes huo ni urembo tu siunajua kupenda hakuna mtu muhimu kwenye maisha kama mke na anafaa apendeze kila wakati. Amini au usiamini mimi ni mkulima tu wa mananasi, kilimo kinanipatia zaidi ya 100,000,000 kwa mwaka. Kama kwa mwaka naweza kuuza mananasi 350,000 piga hesabu kwa bei ya jumla ya chini kabisa ya nanasi moja likiwa shambani ni kiasi gani. Fanya utafiti nanasi moja shilingi ngapi kisha piga hesabu. Nchi hili ni kubwa mno ninyi mnang'angana na kutaka kuwa watumwa wa Wahindi na kuuza chupi barabari mpaka lini, mtaendelea tu kuona wenzenu matajiri kumbe uzembe wenu. Nakupa home work pale Kiwangwa Bagamoyo **** mtu anaitwa Mzee Mitigo hakwenda shule lakini analima tu, angalia pato lake la mwaka na vitegauchumi anavyowekeza kutokana na kilimo. Tunafanya kilimo full time job, karibu uje nikufundishe kilimo kwakuwa mali iko shambani bana.
 
mkuu kumbe mkeo anavaa kikuku[emoji4] [emoji4] nilikuwa sijui
Ni urembo huo hauna shida na anavaa cheni za dhahabu kiunoni vilevile, kwahiyo nikiwa napitisha ulimi toka chini hadi juu napita kwenye gold tu raha iliyoje hiyo.
 
Mimi nilitegemea celebrity avae ghali zaidi ya hio 2m!
 
Back
Top Bottom