Kwa mtoko mmoja, Wema Sepetu anavaa vitu vyenye gharama ya zaidi ya milioni mbili

Yetumacho, unajua hawa hata ukachuka mtumba mzuri ukaufua ukauweka duka la viwalo ukamwambia umetoka London atanunua! kwa bei hiyo
 
mkuu kumbe mkeo anavaa kikuku[emoji4] [emoji4] nilikuwa sijui
 
sawa
 

2000x2100=4,200,000x3
=12,600,000/= (huu ni urembo tu!)

Je na wewe ulipata mgao wa ESCROW???
 
2000x2100=4,200,000x3
=12,600,000/= (huu ni urembo tu!)

Je na wewe ulipata mgao wa ESCROW???
Haaaahaaaa, hapana kaka mimi siko ESCROW ni Mtanzania mwema sana, yes huo ni urembo tu siunajua kupenda hakuna mtu muhimu kwenye maisha kama mke na anafaa apendeze kila wakati. Amini au usiamini mimi ni mkulima tu wa mananasi, kilimo kinanipatia zaidi ya 100,000,000 kwa mwaka. Kama kwa mwaka naweza kuuza mananasi 350,000 piga hesabu kwa bei ya jumla ya chini kabisa ya nanasi moja likiwa shambani ni kiasi gani. Fanya utafiti nanasi moja shilingi ngapi kisha piga hesabu. Nchi hili ni kubwa mno ninyi mnang'angana na kutaka kuwa watumwa wa Wahindi na kuuza chupi barabari mpaka lini, mtaendelea tu kuona wenzenu matajiri kumbe uzembe wenu. Nakupa home work pale Kiwangwa Bagamoyo **** mtu anaitwa Mzee Mitigo hakwenda shule lakini analima tu, angalia pato lake la mwaka na vitegauchumi anavyowekeza kutokana na kilimo. Tunafanya kilimo full time job, karibu uje nikufundishe kilimo kwakuwa mali iko shambani bana.
 
mkuu kumbe mkeo anavaa kikuku[emoji4] [emoji4] nilikuwa sijui
Ni urembo huo hauna shida na anavaa cheni za dhahabu kiunoni vilevile, kwahiyo nikiwa napitisha ulimi toka chini hadi juu napita kwenye gold tu raha iliyoje hiyo.
 
W izi mtupu!
Madera yake 18000
Koti 25000
Magauni 35000
Pochi 45000
Jeans 25000 tunapishana wote kwa azizi
 
Mimi nilitegemea celebrity avae ghali zaidi ya hio 2m!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…