Kwa mtoko mmoja, Wema Sepetu anavaa vitu vyenye gharama ya zaidi ya milioni mbili

Hio suede iliokaa gadget yako ni sofa? Nayo milioni ngapi?

Hapana...siyo sofa.

Ni swivel glider rocker recliner....ni zaidi ya 2 mill bana. Na hapo ni bei ya Memorial day sale.

Halafu uko attentive to detail kweli kweli. Umejua kuwa ni suede in no time.

Sofas napenda zaidi zile sectionals.....

Camera ya S7 edge ni nomaaaa.
 
Kwahio shida si 2m, ila ni kama unavaa hivyo halafu hujajenga?
 
Kwahio shida si 2m, ila ni kama unavaa hivyo halafu hujajenga?

Watu hufanya kama vile kujenga ni lazima.

Sijui nani aliwaambia kila mtu anataka kujenga.

Why the hell care if someone spends their hard earned money [or otherwise for that matter] with reckless abandon?

Don't understand why people think we all have to do things using the same playbook!
 
Haya bana...unajua huku bongo tunavaa sana mitumba kwahio ukiwaambia watu ukitoka chini mpaka juu inaweza kufika 2m wanawaka kweli, wanafikri lazima uwe billionare! Kumbe ukivaa t-shirt lacoste,levi's jeans,belt timberland,diesel watch chini ukimalizia na brown 6'' tim boots 2m imekwisha!
 
Kibongobongo kama hujajenga huna akili. Soma,pata kazi, oa, jenga....ukiweza jenga ingine na ingine na ingine tena. Thats life.
 
Bangili hizo tatu zinauzito unaotofautiana kidogo kwakuwa haziwezi kuwa sawa ila round figure ni gram 52.84 kwa moja ambapo kwa zote roughly ni gram 158.5. Labda hints hizi zitakusaidia kupiga hesabu vizuri: gram 1 Karat 21 is 139 AED = 37.844 USD.
Vizuri sana mkuu, na gari yake mkeo ni ya milioni ngapi?
 

2 mill inaishia kwenye accessories tu....backpack ya MCM, saa ya Victorinox Swiss Army, cologne ya Clive Christian....hapo tayari unaitafuta milioni 4.



Na kuhusu mitumba, siku hizi nadhani ni tofauti kidogo na zamani. Siku hizi bidhaa feki. Wadada kibao wanabeba designer handbags mjini....ambazo nadhani asilimia 99.7 ni feki zote.

Juzi hapa nimetoka Kahama ambako niliona mdada mmoja kakupigia Balenciaga juu hadi chini! Mtu mwenyewe ni bartender tu.

Dar/ Tanzania imekuwa kisiwa cha fake designer products.
 
Duuuh wala mbwa tupo wengi kumbe??[emoji15] [emoji15] sasa mbona mmeweka majina ya USA baby??taratibu jamani tusije tukarithiana kama waarabu kumbe kaka na Dada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Matawa hela bee!
 
Hakuna sababu ya kuongopa na wala sina sababu ya kuweka picha kwani waweza chukua picha yeyote ile. Tatizo watu wengi wana mawazo finyu sana wanadhani gold ni mapambo tu, hapana badala ya kuweka pesa bank unaweza kuamua kununua gold kama reserve yako inayoweza kukusaidia pindi unapokuwa kwenye financial crisis kwakuwa bei yake huwa inapanda tu na ndo maana central bank zote duniani zina gold reserves. Kama una kumbukumbu nzuri katika tukio la hurricane kule New-Orlens Marekani Wazungu tu ambao wengi wao walihifadhi utajiri wao kwenye gold ilikuja kuwasaidia sana kwakuwa ndio asset pekee waliyobaki nayo. Kwahiyo na wewe uwaze kufikiria out of the box kuwa gold si mapambo tu. Mimi mwenzako i buy gold as much as cash allows me to do so.
 
10 years ago Wema Sepetu alikua n brand matata kabisa akaishia kwenye kashfa za mapenzi na akachangia sana msukuma wa Bamaga kupiga pesa

Wema ana miaka 2-5 ya kujitathimini na kujipanga maisha yake ukichukulia hana fani yoyote otherwise atachekesha
 



So what??

Aviambie vimzalishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…