Kwa mtoko mmoja, Wema Sepetu anavaa vitu vyenye gharama ya zaidi ya milioni mbili

Gari ya thamani kubwa sio priority kwa sasa kwakuwa it doesn't add value to me as far as the life is concerned. Niulize nyumba na niulize mashamba. Gold si mapambo tu bali ni reserve which can immediately turned into cash deemed necessary. Hatufanyi kitu ili watu watuone bali tunafanya kwasababu ina maana ya kufanya hivyo.
 
Wewe uliza umeokoa maisha ya watu wangapi na umefuta ujinga wa watu wangapi na umefikisha university watu wangapi si suala la ku generalize kuwa watu wanakufa hospitalini kwakuwa hakuna mtu mwenye uwezo wa kuokoa maisha ya watu wote wanaokufa au kuondoa umasikini wa watu wote. Kama binadamu nimeleta impact kwenye maisha ya watu kadhaa kwakwlei si haba ila sina uwezo wa kuwasiadia dunia nzima na si fanyikazi nijidhiri mimi na familia yangu eti kwakuwa kuna watu masikini wanakufa kwakuwa sitaweza okaa masiha ya wote wanaotaka kufa. Kwa jiyo si sula la majivuno bali ni jinsi gani unatasfiri maisha kwangu maisha ni kuhakikisha mimi na familia yangu tunapata mahitaji yote ya muhimu kula vizuri, kulala pazuri, usafiri wa uhakika, shule nzuri kwa watoto, matibabu mazuri na pia kusaidia immediate family kama vile hususan dada zangu na watoto wao, bahati mbaya sana dada zangu hawajapata bahati ya kuolewa kwahiyo I have taken a sole responsibility to take them to the school up to university level kwakuwa naamini haina maana kuwa na kauwezo kidogo then mtoto wa dadako anashindwa kwenda shule kwakuwa dada hana huwezo. Hivyo basi nafanya yale ambayo Mungu amenitia nguvu nifanye bila kujinyima mimi na familia yangu kwakuwa nidhambi kuikalifu familia yako kwaajili ya wengine.
 
Hatari sana mke wa nyakanazi!! Wakorawaitu

vitu vidogo tu hivyo, wewe unaweka pesa bank, mimi nawekeza kwenye gold ambayo inatumika kama mapambo na reserve. Nia yangu pia mlifahamu hili somo kuwa gold sio mapambo tu bali ni reserve itakufaa siku za mbeleni, anza kununua na kuhifadhi gold ukiweza lakini kwakuwa una mke basi kwanini usinunue kama mapambo na ikafanyakazi mbili kwa wakati mmoja.
 
Nimependa maneno ya mwisho, nitakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…