Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

Mpira ungekuwa rahisi hivyo basi Barcelona angechukua ubingwa uefa,au Chile Jana angetoboa fainali Copa America.
NB nakuhakikishia ukipata hayo matokeo unayowaza njoo fufua hiii comment yangu.kila la kheri mkuu.
Chile katekenywa na watoto jana
 
Ulitegemea Madagascar kuingia 16 Bora Tena akiongoza kundi mbele ya Nigeria!!?tuanzie hapo mkuu
Rais wa CAF ni Mmadagascar makamo rais Mnaija lakini pia mke wa kocha wa Naija nae ni Mmadagascar ulitegemea ili Madagascar wafuzu ilitakiwa washinde ulitegemea nini hapo

Yaani Naija ni ya kufungwa kizembe vile sasa subiri kwa mkongo uone
 
Wela screenshot mm nitaweka 1mil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…