Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

Pole sana
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
 
Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi [emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hahaha mkuu inaoneka wewe ni bingwa wa kuchana mikeka, me ni muzoefu huwa siweki game nyingi ili nipate pesa ya maana ila huwa naweka game moja au mbili tu harafu naweka pesa ya kutosha

Kiukweli toka naanza kubeti sina hasara ila nina faida au nikutumie screenshot ya mikeka yangu iliopita?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830

Michezo ya kubahatisha huwa haihitaji maneno ya taarabu kama yako Mkuu, mechi wacheze watu wengine wewe uamini unavyotaka wewe pole sana Mkuu, pesa hiyo ungewatumia hata Ndugu zako kijijini huko wangekushukuru
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Michezo ya kubahatisha huwa haihitaji maneno ya taarabu kama yako Mkuu, mechi wacheze watu wengine wewe uamini unavyotaka wewe pole sana Mkuu, pesa hiyo ungewatumia hata Ndugu zako kijijini huko wangekushukuru
Na ikishaleta tasrabu ujue lazima upigwr
 
Back
Top Bottom