Kwa muda gani mrefu umekaa bila kuoga na kwanini?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Muda:
nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2,

Chanzo:
Niliingia kwenye msala flan ambao hatma yake iliamuliwa baada ya siku 30, ulikuwa msala ambao ungeathiri hata maisha yangu kiujumla.

Nlijaa stress sana hicho kipindi nasubiri hatma, nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2,

Hatma ikatolewa ikonyesha sina kosa ndio nikajirudi katika hali ya kawaida,

Depression ilinifanya nisiwe na nguvu hata ya kujijali usafi, nilikuwa nanawa tu na kupiga mswaki, i lost the energy to give a damn about my hygiene.
 
Mimi nimewahi kukaa siku 7 hv au sita bila kuoga

Ilikuag maji kama sku 3 hakuna hata yalivorudi nkawa sina time nayo 🤣🤣

halafu hyo ya kukaa sku 29 unqtupqnga tu afu ulikua unanuka kuanzia mdomo mavi mpka utumbo🤣

ikifika siku ambazo mtu amekaa bila kupga mswaki unishtuwe nitoe ushuhuda mzito
 
nilikuwa nanawa tu kwenye kisinki na kupiga mswaki.. amini usiamini
 
Mila za jamii yangu haziruhusu mtu kuoga baada ya kutahiriwa Hadi pale atakapotoka jandoni.

Imagine mtu umetahiriwa Mwezi wa nane na utatoka jandoni Mwezi wa kumi na mbili.Hapo utakuwa umesusa maji kwa miezi minne mfululizo😂
 
Siku nne.

Nilikwama na gari Iyovi
 
Niliendaga mbeya kweny baridi
Nilikaa kama wiki 6 (Niliogaga mara 2 tu)
 
Kuna watu nilivyokuwa shule nilifikri mwezi wa ramadhani kwao haukati mana daily wanatia Uzu kumbe njemba haziogi.
 
Nilikaa siku 64 bila kuoga[emoji1787][emoji1787]dah siku naoga nilisikia raha sana aisee, nakumbuka nilikaa bafuni masaa mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…