Kwa muda gani mrefu umekaa bila kuoga na kwanini?

Miaka hyo uboyzn maji yalikua mengi sema ya baridi kinoma, kupiga mwezi ilikua kawaida tu
 
[emoji1787][emoji1787] mtu unakaaje miezi miwili bila kuoga khaa wanaume kwa uchafu ptuu
 
Wiki hivi nakula vitini chuo bata
 
Kuoga kunategemeana na hali ya hewa ya mahali ulipo. Kuna sehumu kuogaoga si ishu sana kwa kuwa kuna baridi kali. Maeneo yenye joto kali kama dar ni lazima uoge utake usitake. Usipooga hata siku moja utanuka jasho balaa na watu watakushitukia kuwa hujaoga kwa kunuka uvundo
 
O level mimi 47 days Arusha huko.

Reason: Pressure ya NECTA
 
Ndo nani🤔😂😂
Nimeambiwa nakupenda wewe na ulinikataa halafu nikaenda kwa Mwachiluwi akanikataa halafu eti nikaenda kwa Mjep sijui kwanini wanawake baadhi humu wanadhani nashida nawatu humu mie sina ilikuwa long time sasa na wangu na sipendi kuchanganya mafile na huku hakuna lolote lile nintapata humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…