Kwa muda wa wiki mbili nimekuwa najiuliza; Rais amesema "Ataifumua" serikali, nini kitatokea?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi?

Sasa hivi nafikiri kwamba nchi ni disoriented,yaani watu wamechanganyikiwa akili. You see some quite spectacular crimes happenning. Juzi mtu kambaka binti yake wa darasa la saba. Jana, Arusha, huyu mtu kamuua mtoto wake bila sababu.

A few days ago mtoto mchanga alikuwa ananyonya titi la mama yake aliyekufa,mama aliyefungwa mikono.. Pia mtu kamng'ata masikio yote mawili mama yake mzazi aliyekuwa usingizini.

Hali sasa ni kama wakati ule ambapo Magufuli alipoanza kazi,alipokuwa anaongoza nchi yeye na Ombeni Sefue na media.

Sasa hivi pia tuna so-called "civil unrest". I am not saying hdkuna tishio la ugaidi. Isipokuwa inatokea sasa.when the president is procrastinating.

Pia sasa hivi M23 wamerudi field.
 
Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi...
Samia amechanganyikiwa. Njia sahihi na ndio yenye matokeo wananchi wanataka ni njia ya kimagufuli tu.
Alipoanza na kutoa picha kutofautiana na jpm alituma ujumbe mzuri kwa nguvu hasi zote dhidi ya maslahi ya umma.

Anapozungumzia kuja na mabadiliko serikalini analeta hofu tu kwa wapenda haki maana mwelekeo wake inaelekea ni ule wa kushauriwa na kina tony blair.

Tony blair tayari amepiga dola laki moja tulizokopeshwa na imf eti kuitangaza tz vizuri ikiwa ni pamoja na kufuta image mbaya eti nchi imepata chini ya uongozi wa jpm. Hivi kweli nchi hii ilihitaji kufanyiwa kitu kama hicho na beberu tony blair?
 
Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi...
Kuongoza serikali unatakiwa uwe na vision ya kuwa ukiondoka madarakani utaiacha nchi katika hali gani tofauti na ulivyoiacha. Ukikosa vision hiyo bali ukawa unafanya mambo kwa kuangalia upepo unakwenda wapi, na waliokamata chama wanataka nini basi ujue wewe upo upo tu; huongozi.
 
Kuwa na amani.

Muundo ni huuhuu uliopo utaendelea tegemea aliyeharibu sehemu B atapelekwa sehemu C ndiyo kuifumua huko kunakomaanishwa.
 
Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi?

Sasa hivi nafikiri kwamba nchi ni disoriented,yaani watu wamechanganyikiwa akili. You see some quite spectacular crimes happenning. Juzi mtu kambaka binti yake wa darasa la saba. Jana, Arusha, huyu mtu kamuua mtoto wake bila sababu.

A few days ago mtoto mchanga alikuwa ananyonya titi la mama yake aliyekufa,mama aliyefungwa mikono.. Pia mtu kamng'ata masikio yote mawili mama yake mzazi aliyekuwa usingizini.

Hali sasa ni kama wakati ule ambapo Magufuli alipoanza kazi,alipokuwa anaongoza nchi yeye na Ombeni Sefue na media.

Sasa hivi pia tuna so-called "civil unrest". I am not saying hdkuna tishio la ugaidi. Isipokuwa inatokea sasa.when the president is procrastinating.

Pia sasa hivi M23 wamerudi field.

Hoja yako ni nini hapa?!
 
Ninyi wote wapumbafu. Kwani Nani aliwaambia hizo dini zenu zinasaidia chochote? Kinachosaidia ni Mungu ndani ya MTU sio Uislamu au Ukristo. Petiod
Lione andazi jingine hili ni wapi nimekuambia dini inasaidia chechote?
 
Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi?

Sasa hivi nafikiri kwamba nchi ni disoriented,yaani watu wamechanganyikiwa akili. You see some quite spectacular crimes happenning. Juzi mtu kambaka binti yake wa darasa la saba. Jana, Arusha, huyu mtu kamuua mtoto wake bila sababu.

A few days ago mtoto mchanga alikuwa ananyonya titi la mama yake aliyekufa,mama aliyefungwa mikono.. Pia mtu kamng'ata masikio yote mawili mama yake mzazi aliyekuwa usingizini.

Hali sasa ni kama wakati ule ambapo Magufuli alipoanza kazi,alipokuwa anaongoza nchi yeye na Ombeni Sefue na media.

Sasa hivi pia tuna so-called "civil unrest". I am not saying hdkuna tishio la ugaidi. Isipokuwa inatokea sasa.when the president is procrastinating.

Pia sasa hivi M23 wamerudi field.
Najaribu kukuelewa!!!

Kwamba "kuifumua Serikali"
 
Back
Top Bottom