TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Majaliwa ni muislam mwenzie pia. Kuna shida?Atamtoa PM madarakani.
Atamuweka Muislam mwenzake.
Kiujumla atatengeneza serikali yake anayoijua yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majaliwa ni muislam mwenzie pia. Kuna shida?Atamtoa PM madarakani.
Atamuweka Muislam mwenzake.
Kiujumla atatengeneza serikali yake anayoijua yeye.
Unamaanisha nn kuihusisha M23 na thread Yako?Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi?
Sasa hivi nafikiri kwamba nchi ni disoriented,yaani watu wamechanganyikiwa akili. You see some quite spectacular crimes happenning. Juzi mtu kambaka binti yake wa darasa la saba. Jana, Arusha, huyu mtu kamuua mtoto wake bila sababu.
A few days ago mtoto mchanga alikuwa ananyonya titi la mama yake aliyekufa,mama aliyefungwa mikono.. Pia mtu kamng'ata masikio yote mawili mama yake mzazi aliyekuwa usingizini.
Hali sasa ni kama wakati ule ambapo Magufuli alipoanza kazi,alipokuwa anaongoza nchi yeye na Ombeni Sefue na media.
Sasa hivi pia tuna so-called "civil unrest". I am not saying hdkuna tishio la ugaidi. Isipokuwa inatokea sasa.when the president is procrastinating.
Pia sasa hivi M23 wamerudi field.
Kateua wakuu wa wilaya.....Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi?