Huyo
ichoboy01 ni mjinga wa mwisho. Wacha kuargue na yeye. Unampea attention na hakuna kitu ya maana anapost hapa. Anapingana data ya World bank. Only a fool can argue with World Bank's data. Huyo hata hakuna evidence unaweza kumpea ndio akubali kuwa Tanzania sio ya kwanza Afrika kwenye access to electricity. Mtu kama huyo ako na very very low IQ. Arguments zako ni za ujinga sana. Watanzania intelligent wameona report ni ya World Bank wakaenda zao. Hawataki kuargue na World Bank lakini hii ng'ombe inaweza argue hata na Mungu. So you are just wasting your energy.