Kwa Mujibu wa Benki ya Dunia, Kenya ina electricity coverage mara dufu ya Tanzania

Kwa Mujibu wa Benki ya Dunia, Kenya ina electricity coverage mara dufu ya Tanzania

Wewe sasa unajichanganya, coverage and access ni kitu kimoja as far as electricity is concerned.
Hapana ni tofauti, eneo (kijiji) linaweza kuwa limefikiwa na umeme lakini wanakijiji wasiwe na namna ya kuutumia eg haujawa stepped down hapo ni coverage with no access.
 
Takwimu zetu zimejaa ulaghai mwingi, zimelenga kuhadaa wananchi, zikivuka nje ya mipaka yetu zinatuvua nguo.
Ni kweli. Serikali yenu inajua kuwa ninyi mnadanganyika virahisi sana.
 
Seychelles wana 100% access to electricity kwa mujibu wa benki ya dunia. Hamna mtu yeyote ambaye hana umeme huko Seychelles. Tanzania bado kuna watu wengi ambao hawana umeme. Tafuta mtu mwingine wa kudanganya mpumbavu wewe.
Vijiji vilivyo fikiwa na umeme wa REA vingi ni viliyo pembezoni mwa barabara. Uzalishaji umeme haukidhi mahitaji, ndio sababu ya ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere. Kudai nchi inaongoza kwa usambazaji umeme ni uwongo uliolenga kufanikisha agenda za siasa.
 
Teargass The last three Tanzanians to post are all admitting that TZ has very low access to electricity. It is good that they are now confessing.
 
Tanzania tuna vijiji elfu 12 kati ya hizo vijiji 10 vina umeme bado vijiji elfu 2 Tanzania hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wamepitishia vigingi vya umeme wala sio kuunganishwa[emoji23][emoji23]
Elewa hilo kwanza before unengue
 
Back
Top Bottom