BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Hapana ni tofauti, eneo (kijiji) linaweza kuwa limefikiwa na umeme lakini wanakijiji wasiwe na namna ya kuutumia eg haujawa stepped down hapo ni coverage with no access.Wewe sasa unajichanganya, coverage and access ni kitu kimoja as far as electricity is concerned.
Vijiji vilivyo fikiwa na umeme wa REA vingi ni viliyo pembezoni mwa barabara. Uzalishaji umeme haukidhi mahitaji, ndio sababu ya ujenzi wa bwawa la mwl Nyerere. Kudai nchi inaongoza kwa usambazaji umeme ni uwongo uliolenga kufanikisha agenda za siasa.Seychelles wana 100% access to electricity kwa mujibu wa benki ya dunia. Hamna mtu yeyote ambaye hana umeme huko Seychelles. Tanzania bado kuna watu wengi ambao hawana umeme. Tafuta mtu mwingine wa kudanganya mpumbavu wewe.
Hoja dhaifu. Zanzibar ni kisiwa, wanao umeme kila chumba? Ongelea uchumi wa Seashells na si hoja ya watu.sychless ni kisiwa mzee watu hawafiki hata millioni unategemea nn?
zanzibar iko chini ya Tanzania mzeeHoja dhaifu. Zanzibar ni kisiwa, wanao umeme kila chumba? Ongelea uchumi wa Seashells na si hoja ya watu.
Tuletee link ya sub saharan africa ya 2020 basi km walivyofanya world bank[emoji23][emoji23]kwann ww hutaki report za 2020 [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamepitishia vigingi vya umeme wala sio kuunganishwa[emoji23][emoji23]Tanzania tuna vijiji elfu 12 kati ya hizo vijiji 10 vina umeme bado vijiji elfu 2 Tanzania hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Link iko wapi inayowaonyesha na wengine[emoji23][emoji23]according to u and now is 2020
Ile ile 2.7 million out of 10million[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]