Kwa mujibu wa Biblia, ni dhambi au si dhambi kwa Mkristo kunywa pombe?

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
611
Reaction score
993
Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66.

Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote.

Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi au sio dhambi) kwa mkristo kwa kurejelea (reference) maandiko ya kitabu cha Biblia?

Mana kuna Wakristo wengine wanaosema (amini) si dhambi na kuna wakristo wengine wanaosema (wanaoamini) ni dhambi.

Mungu atusaidie tujue, kukumbushana ukweli wa maandiko/mafundisho yake Mungu kwa staha bila kuhukumu wala kukashifu imani ya mwingine.
 
Attachments

  • Screenshot_20241105-185922.jpg
    Screenshot_20241105-185922.jpg
    317.4 KB · Views: 22
  • Screenshot_20241105-185950.jpg
    Screenshot_20241105-185950.jpg
    266 KB · Views: 17
  • Screenshot_20241105-190007.jpg
    Screenshot_20241105-190007.jpg
    223.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20241105-190034.jpg
    Screenshot_20241105-190034.jpg
    326.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20241105-190113.jpg
    Screenshot_20241105-190113.jpg
    286.1 KB · Views: 14
  • Screenshot_20241105-190206.jpg
    Screenshot_20241105-190206.jpg
    272.3 KB · Views: 19
Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66.

Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote.

Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi au sio dhambi) kwa mkristo kwa kurejelea (reference) maandiko ya kitabu cha Biblia?

Mana kuna Wakristo wengine wanaosema (amini) si dhambi na kuna wakristo wengine wanaosema (wanaoamini) ni dhambi.

Mungu atusaidie tujue, kukumbushana ukweli wa maandiko/mafundisho yake Mungu kwa staha bila kuhukumu wala kukashifu imani ya mwingine.
Kimwingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho.
 
mungu awasaidie mara ngapi?! Mtoto wake mpendwa alipoanza kufanya miujiza alianza kwa kishindo, alibadili maji kuwa divai katikati ya sherehe, huo ulikua ni ujumbe tosha kwenu wagalatia wa sumbawanga kwamba kuleni bia, kwa ndugu zangu wavaa kobasi wao wanaamini mitungi wataikuta peponi
 
Imezungumzia madhara ya ulevi, lakini hakuna mstari wa biblia ulioenda moja kwa moja kusema usinywe pombe.

Kuna mistari kadhaa inayoruhusu kunywa kwa wastani kama vile

Mithali 3:9-10 – "Mheshimu BWANA kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote; ndipo ghala zako zitakapojaa tele, na mashinikizo yako yatafurika divai mpya."

2. Mhubiri 9:7 – "Enenda, ukale chakula chako kwa furaha, na ukanywe divai yako kwa moyo mwema; kwa sababu Mungu amekwisha kuyakubali matendo yako."

3. Zaburi 104:14-15 – "Huotesha majani kwa wanyama, na mimea kwa mahitaji ya wanadamu, ili kuleta chakula kutoka ardhini, na divai iwapendezao mioyo ya wanadamu, na mafuta kuyang'ariza nyuso zao, na mkate umpao mtu nguvu."

4. 1 Timotheo 5:23 – "Usiwe unakunywa maji tu, bali tumia kidogo divai kwa ajili ya tumbo lako na maradhi yako ya mara kwa mara."

4. Mhubiri 9:7: "Nenda, ukawe na furaha, kula mkate wako kwa furaha, na kunywa divai yako kwa moyo wa furaha; kwa maana tayari Mungu amekubali matendo yako."
 
Chochote chenye madhara kwenye mwili wa mwadamu kukitumia ni dhambi dhidi ya mwili wako mwenyewe mfano pombe huwa inaathiri utendaji kazi wa mtu mfano kulewa kunapoteza energy ya mwili mtu anakuwa kwa asilimia kubwa hajitambui, mfano sigara na bange mtu anaweza kupata matatizo ya mapafu kuharibika n.k
 
Imezungumzia madhara ya ulevi, lakini hakuna mstari wa biblia ulioenda moja kwa moja kusema usinywe pombe.

Kuna mistari kadhaa inayoruhusu kunywa kwa wastani kama vile

Mithali 3:9-10 – "Mheshimu BWANA kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote; ndipo ghala zako zitakapojaa tele, na mashinikizo yako yatafurika divai mpya."

2. Mhubiri 9:7 – "Enenda, ukale chakula chako kwa furaha, na ukanywe divai yako kwa moyo mwema; kwa sababu Mungu amekwisha kuyakubali matendo yako."

3. Zaburi 104:14-15 – "Huotesha majani kwa wanyama, na mimea kwa mahitaji ya wanadamu, ili kuleta chakula kutoka ardhini, na divai iwapendezao mioyo ya wanadamu, na mafuta kuyang'ariza nyuso zao, na mkate umpao mtu nguvu."

4. 1 Timotheo 5:23 – "Usiwe unakunywa maji tu, bali tumia kidogo divai kwa ajili ya tumbo lako na maradhi yako ya mara kwa mara."

4. Mhubiri 9:7: "Nenda, ukawe na furaha, kula mkate wako kwa furaha, na kunywa divai yako kwa moyo wa furaha; kwa maana tayari Mungu amekubali matendo yako."
Kijana divai ni pombe? Divai iliyotumika mara nyingi kwenye biblia ni divai ya mdhabibu sio serengeti, wala double kick
 
Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66.

Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote.

Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi au sio dhambi) kwa mkristo kwa kurejelea (reference) maandiko ya kitabu cha Biblia?

Mana kuna Wakristo wengine wanaosema (amini) si dhambi na kuna wakristo wengine wanaosema (wanaoamini) ni dhambi.

Mungu atusaidie tujue, kukumbushana ukweli wa maandiko/mafundisho yake Mungu kwa staha bila kuhukumu wala kukashifu imani ya mwingine.
Katoliki wanasema mvinyo kidogo
 
Kijana divai ni pombe? Divai iliyotumika mara nyingi kwenye biblia ni divai ya mdhabibu sio serengeti, wala double kick
Kwenye zile amri kumi alizo jiandikia Musa milimani ni amri namba ngapi imekataza Pombe?
 
Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66.

Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi Biblia yao haipungui vitabu 66 ambavyo ni common kwa wote.

Je, pombe ni halali au ni haramu (ni dhambi au sio dhambi) kwa mkristo kwa kurejelea (reference) maandiko ya kitabu cha Biblia?

Mana kuna Wakristo wengine wanaosema (amini) si dhambi na kuna wakristo wengine wanaosema (wanaoamini) ni dhambi.

Mungu atusaidie tujue, kukumbushana ukweli wa maandiko/mafundisho yake Mungu kwa staha bila kuhukumu wala kukashifu imani ya mwingine.
Yesu mwenyewe alikuwa mnywaji mzuri tu wa divai, pombe si haram na wala haikatazwi
 
Kijana divai ni pombe? Divai iliyotumika mara nyingi kwenye biblia ni divai ya mdhabibu sio serengeti, wala double kick
Tuendelee

Mithali 31:6 “Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake”.
 
Unywaji pombe sio shida, shida ni ulevi...ulevi hukupelekea kutofanya maamuzi ya busara...hivyo waweza tenda dhambi. Vilevile ulevi huathiri kipato...ni bora hicho kipato uwasaidie wahitaji kuliko kulewea pombe
 
mungu awasaidie mara ngapi?! Mtoto wake mpendwa alipoanza kufanya miujiza alianza kwa kishindo, alibadili maji kuwa divai katikati ya sherehe, huo ulikua ni ujumbe tosha kwenu wagalatia wa sumbawanga kwamba kuleni bia, kwa ndugu zangu wavaa kobasi wao wanaamini mitungi wataikuta peponi
Hatari sana
 
Katika agano la KALE pombe haikua Haramu kwa wana wa Israeli or you may call them wayahudi kwa leo except the following group, hawa hawakuruhusiwa kabisa hata kugusa, sio tu kunywa hata kugusa, wengine walikwenda mbali zaidi, hawakutakiwa hata kupanda mizabibu ambayo ndio ilikua raw materials ya kutengenezea DIVAI. Watu hao ni:-
1. Makuhani, 2. Manabii, 3. Wanadhiri (mfano Samsoni) 4. Wafalme 5. Wana wa Lawi, hawa wana wa Lawi walikua makundi 2, kulikua na makuhani (leo tungesema wachungaji/mapadre, maaskofu nk ) pamoja na waimbaji; why walizuiwa kunywa pombe? Ni kwasababu walikua wamejazwa roho mtakatifu. In fact hata mama mjamzito kabla ya kupata mimba, mama zao walizuiwa kutumia mvinyo/divai. Lakini pia Wafalme walizuiwa kunywa pombe/mvinyo/divai kwasababu wasije kupotosha HUKUMU, soma hapa Mith 31: 4-5

Now to answer the question of either alcohol is it legal or illegal for the Christians? Yesu anasema wafuasi wake wote watajazwa roho mtakatifu na kama huna roho mtakatifu then you are not a Christian and hence Mkristo aliyejazwa roho mtakatifu automatically (according to the old testament) hairuhusiwi kunywa POMBE.
Karibuni kwa maswali
 
Tuendelee

Mithali 31:6 “Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake”.
Kuna maneno kwenye biblia haya tafsiriwi kama unavyo nukuu kifungu kimoja kimoja anzia kusoma kitabu kizima ukiwa unanukuu katikati ya maongezi yake hauta elewa lazima utapata maana tofauti
 
Back
Top Bottom