Kwa mujibu wa CAF, hizi ndio timu zilizotwaa Ubingwa wa CAFCC tangu kuanzishwa kwake

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
[emoji471] 2004 - [emoji1110] Heart of OAK
[emoji471] 2005 - [emoji1173] FAR Rabat
[emoji471] 2006 - [emoji1249] ES Setif
[emoji471] 2007 - [emoji1249] CS Sfaxien
[emoji471] 2008 - [emoji1249] CS Sfaxien
[emoji471] 2009 - [emoji1159] Stade Malen
[emoji471] 2010 - [emoji1173] FUS Rabat
[emoji471] 2011 - [emoji1173] MAS Fez
[emoji471] 2012 - [emoji1077] AC Leopards( kocha Nabi )
[emoji471] 2013 - [emoji1249] CS Sfaxien
[emoji471] 2014 - [emoji1093] Al Ahly Cairo
[emoji471] 2015 - [emoji1249] ES Setif
[emoji471] 2016 - [emoji1078] TP Mazembe
[emoji471] 2017 - [emoji1078] TP Mazembe
[emoji471] 2018 - [emoji1173] Raja Casablanca
[emoji471] 2019 - [emoji1093] Zamalek
[emoji471] 2020 - [emoji1173] RS Berkane
[emoji471] 2021 - [emoji1173] Raja Casablanca
[emoji471] 2022 - [emoji1173] RS Berkane

[emoji471] 2023 ?

Kocha wa klabu ya Yanga, Nabi alitwaa kombe hili mwaka 2012 akiwa kocha wa klabu ya AC Leopards ya Congo Brazaville [emoji1077]

Nabi anatafuta kombe lake la pili la CAF Confederations cup kwenye career yake, awamu hii akiwa Young Africans SC [emoji1241]

NB: Vilabu kutoka Tanzania [emoji1241] na Algeria [emoji1026] havijawahi kutwaa Ubingwa wa CAF Confideration Cup.

Klabu itakayoshinda kati ya Yanga na USM Alger itakuwa imepeleka kombe la kwanza la CAFCC kwenye Nchi husika.
 
Ila tunatia sana aibu yaani wabongo kwenye somo la utaratibu, tunazingua Yanga wana yajua matawi yote ya Yanga, kwani wasingezisambaza hizi tickets kwa kwenye matawi.Viongozi wa matawi ndio wazisambaze kwa mashabiki mbona simple,bahati nzuri ticket na hela walikabiziwa.

Tatizo letu bongo kila kitu tunaendekeza tamaa na ticket zilitolewa na kukabidhiwa kwa viongozi wa Yanga mapema halafu kumbe kuna watu wana langua,huu unaofanyika ni upuuuzi halafu ndio tumeomba kuhost michuano ya CAF.
 
NAKAZIA [emoji123] MKUU UPO SAHIHI KABISA.
 
[emoji471] 2004 - [emoji1110] Heart of OAK
[emoji471] 2005 - [emoji1173] FAR Rabat
[emoji471] 2006 - [emoji1249] ES Setif
[emoji471] 2007 - [emoji1249] CS Sfaxien
[emoji471] 2008 - [emoji1249] CS Sfaxien
[emoji471] 2009 - [emoji1159] Stade Malen
[emoji471] 2010 - [emoji1173] FUS Rabat
[emoji471] 2011 - [emoji1173] MAS Fez
[emoji471] 2012 - [emoji1077] AC Leopards( kocha Nabi )
[emoji471] 2013 - [emoji1249] CS Sfaxien
[emoji471] 2014 - [emoji1093] Al Ahly Cairo
[emoji471] 2015 - [emoji1249] ES Setif
[emoji471] 2016 - [emoji1078] TP Mazembe
[emoji471] 2017 - [emoji1078] TP Mazembe
[emoji471] 2018 - [emoji1173] Raja Casablanca
[emoji471] 2019 - [emoji1093] Zamalek
[emoji471] 2020 - [emoji1173] RS Berkane
[emoji471] 2021 - [emoji1173] Raja Casablanca
[emoji471] 2022 - [emoji1173] RS Berkane

[emoji471] 2023 ?

Kocha wa klabu ya Yanga, Nabi alitwaa kombe hili mwaka 2012 akiwa kocha wa klabu ya AC Leopards ya Congo Brazaville [emoji1077]

Nabi anatafuta kombe lake la pili la CAF Confederations cup kwenye career yake, awamu hii akiwa Young Africans SC [emoji1241]

NB: Vilabu kutoka Tanzania [emoji1241] na Algeria [emoji1026] havijawahi kutwaa Ubingwa wa CAF Confideration Cup.

Klabu itakayoshinda kati ya Yanga na USM Alger itakuwa imepeleka kombe la kwanza la CAFCC kwenye Nchi husika.
Nabi hajawahi chukua kombe hili akiwa kocha acha uongo
 
Ali kamwe alisema simba waende wakajifunze kwa yanga kumfunga mwarabu taifa
 
Back
Top Bottom