Kwa mujibu wa Hayati Mwl. Nyerere, CCM ya sasa inaongoza Kikaburu

Kwa mujibu wa Hayati Mwl. Nyerere, CCM ya sasa inaongoza Kikaburu

Joined
Feb 18, 2019
Posts
53
Reaction score
539
"Tunataka Rais ambaye si mkabila, si kaburu. Makaburu wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa. Ni makaburu tuu, mimi siwaonei haya hata kidogo ni makabuuruu tuu. Kwa sababu kama una mawazo yaleyale kama ya kaburu wa South Africa ila tofauti yako kwamba ni mweusi ni kaburu tu."

"Wazungu wa South Africa tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao. Hatuwezi kuwa na makaburu hapa halafu tukawaheshimu kwa sababu weusi. Ni makaburu tuu."


 
Inashangaza tuna dikteta sasa wakati tulikuwa tunasaidia nchi nyingine kuondokana na madikteta!
 
Back
Top Bottom