Kwa mujibu wa huyu mtaalamu chapati nzuri inatakiwa ipikwe kwa masaa 7.

Kwa mujibu wa huyu mtaalamu chapati nzuri inatakiwa ipikwe kwa masaa 7.

Maisha yanabadilika kutokana na kuishi na jamii tofauti….
Siku hizi chapati zimekuwa kubwa kiasi mbili humalizi hizi chapati ni style ya wasomali ukienda kwenye hotels zao
Siku hizi hata mama ntilue wanapika hivyo sio kama zamani ilikuwa chapati nyembamba hata tano unafukia na maharage pembeni…
 
Naona watu wengi hamujamuelewa! Ili chapati ikamilike mpaka iwekwe kikaangoni lazima ipitie process nyingi,na huachwa kwa muda kuumuka,masaa saba si kwamba iwe kikaangoni bali ule mchakato huchukua masaa saba.
 
Duh chapati tunazokula mitaani ,mayooo wane.

🔹 Nyingine zimebabuliwa kama zimechomwa

🔹 Zingine na ndio nyingi hazijaiva pembeni

🔹 Zingine ngumu kamaanati

🇹🇿 Chapati Bora lazima iwe na layer mbalimbali, lakini haijaungua
 
Mawazo ya mbogamboga muda wote ni kufatilia misosi na kuvimbiwa na mavitambi yao..!!
 
Back
Top Bottom