MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
ata ivo mtaalamu ana matatizo ya akili tulikuwa nae pale milembe mwakajuzi!...........bado hajapona.Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video.
View: https://youtube.com/shorts/sKLhw0qNrRg?si=DyW9usbmgs9eFabm
Naona watu wengi hamujamuelewa! Ili chapati ikamilike mpaka iwekwe kikaangoni lazima ipitie process nyingi,na huachwa kwa muda kuumuka,masaa saba si kwamba iwe kikaangoni bali ule mchakato huchukua masaa saba.
😁😁ata ivo mtaalamu ana matatizo ya akili tulikuwa nae pale milembe mwakajuzi!...........bado hajapona.