Kwa mujibu wa injili ya Barnaba mbwa ni bora zaidi ya mwanaume asiyetahiriwa

Ulisikia wapi jinsia ya mtu ni kiwakilishi cha Tabia zake?

Wewe ni jinsia ya kiume, maana yake wanaume wote wakiwepo unaowaheshimu huko kwenu wana Tabia chafu Kama hii yako ya kuharisha hovyo hadharani?

Umejizaa wewe?
Umesema tabia yangu chafu, ok. Je wewe ni msafi? Una tabia njema? Au ulitolewa bikra mapema sana kabla ya kuolewa? Kama ni ndio, huna Mamlaka ya kusema nina tabia chafu .
 
Yaa, lakini sio kwa maana ya kukatwa govi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…