Kwa mujibu wa jarida la Nigeria AFRIMMA, Diamond ni msanii wa 4 kwa ubora Afrika 2019 na vile vile awa no 1 Boomplay kwa upande wa Tanzania 2019

Jamani ndo maana nawaita misukule. Nikisifia mnalalamika,nikipondea mnalalamika,nikikoment bila kueleweka mnalalamika.

Jiraniii jirani zangu eee nimewakosea nini jirani kila nikiwasifiaaaa jiranii eee wenzangu mnalalamika

Kila nikiwapondea jirani eee wenzangu mnaninuniaaa

Sasa niwaeleweje jiraniii ee sasa nifanye nini jiraniiiii ee

Mimi na nyie ni kitu kimojaaaaa

Haina maana oooh haina maana kununiana

Mimi na nyinyi ni majiraniiii oooh haina maana kugombana

Asalaleeeeeeee ally choki na twanga pepeta walitamba sana.
Leo umeshindwa kubisha kwasababu huna hoja......Hahahahahahahahah
 
Hivi wabongo kwanini hip hop itakufa?haiwezekani top 10 wote wabana pua
 
Hiyo kuwa namba 4 africa wamemuonea bwana.Huyo mbili ama tatu
 
Moja ya Nyimbo hizo ni Tetema kutoka kwa Rayvanny ft Diamond.


 
Uki-log In Kwenye Hiyo List Unamkuta Namba 1 Ni Ally Kiba Maana Yeye Hapendi Kabisa Show Off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…