Kwa mujibu wa Katiba. Nini maana ya Mungu na yupi ni Mungu wa taifa hili?

Kwa mujibu wa Katiba. Nini maana ya Mungu na yupi ni Mungu wa taifa hili?

Kuamini kuwa kuna Mungu mmoja hilo pia ni jambo la kiimani kama ilivyo kuamini uwepo wa huyo Mungu / miungu.

Wengine wanaweza kuamini tofauti na wao pia watakuwa sahihi kwa imani zao.
Kama hoja ni hii basi serikali itabidi itoe kibali kwa makundi mbalimbali kujitungia nyimbo zao kutokana na maudhui wanayoamini wao then kwenye kila dhifa ya kitaifa kila kundi likaribishwe lipige kionjo chake.
 
Hata Mimi najiuliza sana hilo Swali.
Nchi hii haina DINI.
Mungu ni dhana ya Imani ya kidini.
Haijalishi unaabudu Imani Gani.
Wapo watu wasio kuwa na Imani yoyote Ile,Kwa nini walazimike kuimba Mungu ibariki?
Ili hali hawaamini hata uwepo wa Mungu mwenyewe?
Nyimbo ya Taifa kuanza na Mungu ibariki ni kudeclare kuwa Nchi hii Ina Imani Fulani tunaifuata,contrary kabisa na Katiba inavyosema!
 
Wimbo wa taifa la Tanzania umekaa kiimani zaidi.

Watu huimba tu kujifariji kujipa matumaini uchwara.

Hakuna Mungu wa kubariki Afrika wala Tanzania wala nchi yeyote ile duniani kwa vile huyo Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Nyimbo zote za Taifa zenye kumtaja Mungu zilitungwa kufuata mrengo wa imani za watu tu( The majority) ila kiuhalisia huyo Mungu hayupo.
 
Nini maana ya Mungu. Kwa mujibu wa katiba.

Na yupi kwa kwa mujibu ya inani ya kikristo aliyemuumba mbingu na nchi ni yesu mtoto wa mariam.

Mungu wa Tanzania ni Mungu aliye umba mbingu na ardhi, vinavyo onekana na visivyo onekana kwa macho ya binadamu.
 
MUNGU ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Kila anayeimba anamwimbia Mungu wake anayemwabudu yeye na ndio maana hakuna jina la Mungu hapo.

Kama wewe ni atheist basi hakuna madhara yoyote kwakua hiyo miungu inayoimbiwa haina effect yoyote kwenye maisha yako.
Mungu ni jina.

Kwa kiarabu ni Allah

Kwa hibru ni Eloi

Lkn kuna Mungu yesu.

Nakumbuka kipindi fulani ilikuwa ni kosa la jinai kusema "Yesu Si Mungu"

Kwa hiyo katiba na sheria za Tz inaamini Mungu yupi wa taifa ni yupi
 
Kuamini kuwa kuna Mungu mmoja hilo pia ni jambo la kiimani kama ilivyo kuamini uwepo wa huyo Mungu / miungu.

Wengine wanaweza kuamini tofauti na wao pia watakuwa sahihi kwa imani zao.
Kama ni jambo la kiimani ktk taifa lisilo na dini. Hatuoni kuna contradiction
 
Back
Top Bottom