Kwa mujibu wa Katiba. Nini maana ya Mungu na yupi ni Mungu wa taifa hili?

Kwa mujibu wa Katiba. Nini maana ya Mungu na yupi ni Mungu wa taifa hili?

Wimbo wa Taifa unatunyanyapaa na kututenga tusioamini Mungu.

Huyo Mungu aliyetajwa ni wa mazingaombwe tu, kika mtu anayeamini Mungu ajione Mungu anayeongelewa ni Mungu wake.
Mko asilimia ndogo ya watz. Hata hivyo nadhani Mungu wa watz ni Moto (Mwenge). Ndio maana tunaimba ulinde mipaka yetu
 
Kikubwa tuimbe tumalize tupige makofi then tuendelee kutekana, kuuwana, kunyanyasana etc
Mungu wa geresha, ukiangalia watu wanavyoishi unaona wote ni atheists tu.

Ila wengine tumekuwa wawazi, wengine wanavunga.
 
Mko asilimia ndogo ya watz. Hata hivyo nadhani Mungu wa watz ni Moto (Mwenge). Ndio maana tunaimba ulinde mipaka yetu
Ukiangalia Watanzania wanavyoishi utagundua karibu wote ni atheists tu.

Ila kuna kujibrand kidini katika kupambana na maisha tu.
 
Wimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.

Swali.

Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.

1. Nini maana ya Mungu

2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania

a. Mwenge
b. Eloi
c. Allah
d. Yesu
Eloi ndo mungu Gani tena

Aisee
 
Mungu ni mmoja tuu, hayo mengine yote ni majina tuu na nafsi.
P
Nataka unamaanisha Nini? Kwamba mwenyekiti, makamu mwenyekiti, kaimu mwenyekiti hao ni mtu mmoja ! Jifunze kwa Yesu umjue Mungu ,ambaye Yesu alisema ni Baba yake na ni baba yetu,ni Mungu wake na ni Mungu wetu
 
Mungu ni mmoja tuu, hayo mengine yote ni majina tuu na nafsi.
P
Kama ni mmoja kwa nini ameruhusu madhehebu kuwa Mengi hapa duniani na kwa nini kila dhehebu lina maelekezo yake ambayo yanapishana na madhehebu mengine
 
Kila anayeimba anamwimbia Mungu wake anayemwabudu yeye na ndio maana hakuna jina la Mungu hapo.

Kama wewe ni atheist basi hakuna madhara yoyote kwakua hiyo miungu inayoimbiwa haina effect yoyote kwenye maisha yako.
Kwa hiyo wapagani hawapaswi kuimba?
 
Back
Top Bottom