Kwa mujibu wa Katiba. Nini maana ya Mungu na yupi ni Mungu wa taifa hili?

Kwa mujibu wa Katiba. Nini maana ya Mungu na yupi ni Mungu wa taifa hili?

Mungu ni jina.

Kwa kiarabu ni Allah

Kwa hibru ni Eloi

Lkn kuna Mungu yesu.

Nakumbuka kipindi fulani ilikuwa ni kosa la jinai kusema "Yesu Si Mungu"

Kwa hiyo katiba na sheria za Tz inaamini Mungu yupi wa taifa ni yupi
Mungu ni Jina la office iliyo kuu yenye mamlaka kubwa kuliko zote Mbinguni na duniani.

Lakini Jina la Mungu tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo ni Jina "YESU ".

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Urekebishwe uweje sasa?

Kiwekwe kipengele cha kuwatambua atheist labda?hai-make sense tukifikia hatua hiyo bora huo wimbo wenyewe ufutwe tuende kibubu bubu.
Kuna contradiction kubwa sana kwani kimsingi kwa kusema taifa halina dini. Kwani hii ni imani ya Atheism. Wakati huo huo kuna Mungu ibariki tz. Hii ni kwa watu wa dini (waislam, waktristo).

tunaweza kujiuliza swali jengine.

Kwann litumike neno Secular State badala ya Neutral State, au Irreligion State.

Ktk kujibu hili ngoja tuone hoja mojawapo ya waanzilishi wa hii dhana ya taifa lisilo na dini
 
Attachments

  • IMG_2hiiht.jpg
    IMG_2hiiht.jpg
    81.8 KB · Views: 2
Kama ni jambo la kiimani ktk taifa lisilo na dini. Hatuoni kuna contradiction
Ni kweli, hata ile sala ya pale bungeni kabla ya vikao ni tatizo.

Lakinj kwenye nchi ambayo wananchi wengi ni watu wenye imani za kidini hauwezi kuzipuuza na kuziondoa kabisa kwenye shughuli za kiserikali.

Nchi ni watu na watu ndio hao wenye hizo dini.
 
Kama hoja ni hii basi serikali itabidi itoe kibali kwa makundi mbalimbali kujitungia nyimbo zao kutokana na maudhui wanayoamini wao then kwenye kila dhifa ya kitaifa kila kundi likaribishwe lipige kionjo chake.
Ktk nchi za kidemokrasia kuna kanuni ya wengi hufunga Sheria.

Kwa bile wengi wa watz ni jamii zinazoamini uwepo wa Mungu wana haki ya kumtaja ktk wimbo wa taifa na hata ktk katiba.

Bahati mbaya katiba ya sasa imamweka Mungu pembeni.

Katiba ya Kenya imemtambua Mungu na kuonyesha kuliweka taifa hilo chini ya mungu.

Swali linakuja pale pale.

Mungu wa tz ni yupi.
 
Ni kweli, hata ile sala ya pale bungeni kabla ya vikao ni tatizo.

Lakinj kwenye nchi ambayo wananchi wengi ni watu wenye imani za kidini hauwezi kuzipuuza na kuziondoa kabisa kwenye shughuli za kiserikali.

Nchi ni watu na watu ndio hao wenye hizo dini.
Kwanini badala ya kuwa na taifa lisilo na dini, tuwe na taifa la dini zote, na mungu au miungu wakubwa watambulike
 
MUNGU ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Kama wewe ungekuwa ndio rais na mkuu wa serikali ungepitisha sheria kuwa Mungu wa tz ni yesu?

Je wenye imani kama yako serikali wanaamini hivyo.

Na kama wanaamini hivyo tuna uhalali gn tz iwe ni nchi isiyo ma dini
 
Mada inaongelea Mungu, dini zimetoka wapi tena?

Yesu ni Jina la huyo Mungu Mmoja muumba wa Mbingu na Nchi, Tanzania na watu wake wakiwemo.
 
Kwanini badala ya kuwa na taifa lisilo na dini, tuwe na taifa la dini zote, na mungu au miungu wakubwa watambulike
Mungu ni MMOJA, kwanini tuhangaike na miungu?

Aliyeumba mbingu na Nchi na kuiumba Tanzania na watu wake, ndio Mungu huyo wa TANZANIA.
 
D
Mada inaongelea Mungu, dini zimetoka wapi tena?

Yesu ni Jina la huyo Mungu Mmoja muumba wa Mbingu na Nchi, Tanzania na watu wake wakiwemo.
Dini ni zao la Mungu. Muhimu tujadili pamoja.

Wanaoamini Mungu huamini magundisho ya dini.

Wasioamini mungu, pia hawaihitaji sini ktk utendaji wa kazi wao za kila siku
 
D

Dini ni zao la Mungu. Muhimu tujadili pamoja.

Wanaoamini Mungu huamini magundisho ya dini.

Wasioamini mungu, pia hawaihitaji sini ktk utendaji wa kazi wao za kila siku
Tujikite kwenye mada,

Mada inahusisha Mungu wa Tanzania ni yupi!!

Hayo mambo ya dini tafuta muda uyaanzishie thread.

Mungu ni MMOJA tu, uwe na dini, usiwe nayo, umjue au usimjue, umwamini au usimwamini, Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi anabaki kuwa ni MMOJA tu.

Na Mungu huyo mmoja, analo Jina tulilopewa WANADAMU, ni "YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH!!
 
Kusema kweli Mungu anayetajwa ni Nguruvi mungu wa Mtemi Mkwawa Mkwavinyika
 
Mungu wa Tanzania ni Mungu aliye umba mbingu na ardhi, vinavyo onekana na visivyo onekana kwa macho ya binadamu.
Duh, anyway lakin usisahau pia SHETANI WA TANZANIA ANA NGUVU KUMZIDI MUNGU WA TANZANIA.
 
Wimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.

Swali.

Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.

1. Nini maana ya Mungu

2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania

a. Mwenge
b. Eloi
c. Allah
d. Yesu
Wimbo wa Taifa unatunyanyapaa na kututenga tusioamini Mungu.

Huyo Mungu aliyetajwa ni wa mazingaombwe tu, kika mtu anayeamini Mungu ajione Mungu anayeongelewa ni Mungu wake.
 
Kwa Tanzania, Mwenyekiti wa CCM ndio anakuaga MUNGU kwa wakati wake
 
Wimbo wa Taifa unatunyanyapaa na kututenga tusioamini Mungu.

Huyo Mungu aliyetajwa ni wa mazingaombwe tu, kika mtu anayeamini Mungu ajione Mungu anayeongelewa ni Mungu wake.
Kikubwa tuimbe tumalize tupige makofi then tuendelee kutekana, kuuwana, kunyanyasana etc
 
Back
Top Bottom