Mungu ni Jina la office iliyo kuu yenye mamlaka kubwa kuliko zote Mbinguni na duniani.Mungu ni jina.
Kwa kiarabu ni Allah
Kwa hibru ni Eloi
Lkn kuna Mungu yesu.
Nakumbuka kipindi fulani ilikuwa ni kosa la jinai kusema "Yesu Si Mungu"
Kwa hiyo katiba na sheria za Tz inaamini Mungu yupi wa taifa ni yupi
Kuna contradiction kubwa sana kwani kimsingi kwa kusema taifa halina dini. Kwani hii ni imani ya Atheism. Wakati huo huo kuna Mungu ibariki tz. Hii ni kwa watu wa dini (waislam, waktristo).Urekebishwe uweje sasa?
Kiwekwe kipengele cha kuwatambua atheist labda?hai-make sense tukifikia hatua hiyo bora huo wimbo wenyewe ufutwe tuende kibubu bubu.
Inamaana hawa hawatambuliki ?Mungu ni mmoja tuu, hayo mengine yote ni majina tuu na nafsi.
P
Ni kweli, hata ile sala ya pale bungeni kabla ya vikao ni tatizo.Kama ni jambo la kiimani ktk taifa lisilo na dini. Hatuoni kuna contradiction
Ktk nchi za kidemokrasia kuna kanuni ya wengi hufunga Sheria.Kama hoja ni hii basi serikali itabidi itoe kibali kwa makundi mbalimbali kujitungia nyimbo zao kutokana na maudhui wanayoamini wao then kwenye kila dhifa ya kitaifa kila kundi likaribishwe lipige kionjo chake.
Kwanini badala ya kuwa na taifa lisilo na dini, tuwe na taifa la dini zote, na mungu au miungu wakubwa watambulikeNi kweli, hata ile sala ya pale bungeni kabla ya vikao ni tatizo.
Lakinj kwenye nchi ambayo wananchi wengi ni watu wenye imani za kidini hauwezi kuzipuuza na kuziondoa kabisa kwenye shughuli za kiserikali.
Nchi ni watu na watu ndio hao wenye hizo dini.
Uwe vpHuo wimbo ulitakiwa uhaririwe
Kama wewe ungekuwa ndio rais na mkuu wa serikali ungepitisha sheria kuwa Mungu wa tz ni yesu?MUNGU ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Mada inaongelea Mungu, dini zimetoka wapi tena?Kama wewe ungekuwa ndio rais na mkuu wa serikali ungepitisha sheria kuwa Mungu wa tz ni yesu?
Je wenye imani kama yako serikali wanaamini hivyo.
Na kama wanaamini hivyo tuna uhalali gn tz iwe ni nchi isiyo ma dini
Mungu ni MMOJA, kwanini tuhangaike na miungu?Kwanini badala ya kuwa na taifa lisilo na dini, tuwe na taifa la dini zote, na mungu au miungu wakubwa watambulike
Kwaiyo hata sisi twaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja, naskiaga mpaka kifo kitutenganishe sasa sijui ni kifo gani hicho maana watu wengi huwa tunapenda rukia katika conclusion kuwa kifo hicho nipale mtu kaondoka dunia hii.Mungu ni mmoja tuu, hayo mengine yote ni majina tuu na nafsi.
P
Dini ni zao la Mungu. Muhimu tujadili pamoja.Mada inaongelea Mungu, dini zimetoka wapi tena?
Yesu ni Jina la huyo Mungu Mmoja muumba wa Mbingu na Nchi, Tanzania na watu wake wakiwemo.
Tujikite kwenye mada,D
Dini ni zao la Mungu. Muhimu tujadili pamoja.
Wanaoamini Mungu huamini magundisho ya dini.
Wasioamini mungu, pia hawaihitaji sini ktk utendaji wa kazi wao za kila siku
Duh, anyway lakin usisahau pia SHETANI WA TANZANIA ANA NGUVU KUMZIDI MUNGU WA TANZANIA.Mungu wa Tanzania ni Mungu aliye umba mbingu na ardhi, vinavyo onekana na visivyo onekana kwa macho ya binadamu.
Wimbo wa Taifa unatunyanyapaa na kututenga tusioamini Mungu.Wimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.
Swali.
Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.
1. Nini maana ya Mungu
2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania
a. Mwenge
b. Eloi
c. Allah
d. Yesu
Kwahiyo Pasko kwako wewe mwenge ni mungu!?Mungu ni mmoja tuu, hayo mengine yote ni majina tuu na nafsi.
P
Kwa Tanzania, Mwenyekiti wa CCM ndio anakuaga MUNGU kwa wakati wakeWimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.
Swali.
Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.
1. Nini maana ya Mungu
2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania
a. Mwenge
b. Eloi
c. Allah
d. Yesu
Kikubwa tuimbe tumalize tupige makofi then tuendelee kutekana, kuuwana, kunyanyasana etcWimbo wa Taifa unatunyanyapaa na kututenga tusioamini Mungu.
Huyo Mungu aliyetajwa ni wa mazingaombwe tu, kika mtu anayeamini Mungu ajione Mungu anayeongelewa ni Mungu wake.