Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
- Thread starter
-
- #41
Mko asilimia ndogo ya watz. Hata hivyo nadhani Mungu wa watz ni Moto (Mwenge). Ndio maana tunaimba ulinde mipaka yetuWimbo wa Taifa unatunyanyapaa na kututenga tusioamini Mungu.
Huyo Mungu aliyetajwa ni wa mazingaombwe tu, kika mtu anayeamini Mungu ajione Mungu anayeongelewa ni Mungu wake.
Mungu wa Tanzania ni Mungu aliye umba mbingu na ardhi, vinavyo onekana na visivyo onekana kwa macho ya binadamu.
Mungu wa geresha, ukiangalia watu wanavyoishi unaona wote ni atheists tu.Kikubwa tuimbe tumalize tupige makofi then tuendelee kutekana, kuuwana, kunyanyasana etc
Ukiangalia Watanzania wanavyoishi utagundua karibu wote ni atheists tu.Mko asilimia ndogo ya watz. Hata hivyo nadhani Mungu wa watz ni Moto (Mwenge). Ndio maana tunaimba ulinde mipaka yetu
Eloi ndo mungu Gani tenaWimbo wa taifa ni miongoni mwa tunu za taifa. Ktk wimbo huo kuna maneno Mungu ibariki Tanzania.
Swali.
Katiba yetu na sheria inatafsiri gani ktk maswali haya.
1. Nini maana ya Mungu
2. Nani au yupi ni Mungu wa Tanzania
a. Mwenge
b. Eloi
c. Allah
d. Yesu
Nataka unamaanisha Nini? Kwamba mwenyekiti, makamu mwenyekiti, kaimu mwenyekiti hao ni mtu mmoja ! Jifunze kwa Yesu umjue Mungu ,ambaye Yesu alisema ni Baba yake na ni baba yetu,ni Mungu wake na ni Mungu wetuMungu ni mmoja tuu, hayo mengine yote ni majina tuu na nafsi.
P
Kama ni mmoja kwa nini ameruhusu madhehebu kuwa Mengi hapa duniani na kwa nini kila dhehebu lina maelekezo yake ambayo yanapishana na madhehebu mengineMungu ni mmoja tuu, hayo mengine yote ni majina tuu na nafsi.
P
Kwa hiyo wapagani hawapaswi kuimba?Kila anayeimba anamwimbia Mungu wake anayemwabudu yeye na ndio maana hakuna jina la Mungu hapo.
Kama wewe ni atheist basi hakuna madhara yoyote kwakua hiyo miungu inayoimbiwa haina effect yoyote kwenye maisha yako.