Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Mbona CCM na TLP walifanya kikao pamoja?
wapi ulikiona? hakuna kikao rasmi kiliwahi kufanyika
pia ni swala la katiba je katiba za hivi vyama zinatamka kuwa mtu atajivua uanachama akimuunga mkono mgombea wa chama kingine kama ilivyo katiba ya ACT wazalendo? Katiba ya ACT wazalendo inamka wazi kabisa bila kumeza maneno
 
wapi ulikiona? hakuna kikao rasmi kiliwahi kufanyika
pia ni swala la katiba je katiba za hivi vyama zinatamka kuwa mtu atajivua uanachama akimuunga mkono mgombea wa chama kingine kama ilivyo katiba ya ACT wazalendo? Katiba ya ACT wazalendo inamka wazi kabisa bila kumeza maneno
Mpuuzi wewe Polepole hakwenda wakati TLP wanapitisha mgombea wao wa uRais?
 
Mpuuzi wewe Polepole hakwenda wakati TLP wanapitisha mgombea wao wa uRais?
Alienda kama msikilizaji MWALIKWA mikutano yote mikuu ya vyama wawakilishi wa vyama vyote vya ndani na nje ya nchi hualikwa wakatae wenyewe
 
Katiba ya ACT haimuruhusu Maalim Seif Kumuunga mkono mgombea wa Chama kingine lakini mskilize anavyojivua uanachama wa ACT WAZALENDO waziwazi kwa kumuunga mkono Lisu


 
Nimeoni hiki kifungu cha katiba yenu mitandaoni ambacho kama sio fake, naona kinaweza kabisa kumuingiza Maalim Seif katika matatizo ya kujitakia au kutokana na kushauriwa vibaya, iwapo katiba hiyo hiyo haina kifungu kingine chochote kinachoweza kutumika kumlinda Maalim Seif baada ya kutamka kumuunga mkono Lissu, na zaidi iwapo sheria inamruhusu Msajili kulinda katiba za vyama na zaidi iwapo pia sheria inamruhusu Msajili kuchukua hatua kulinda katiba za vyama.

Vile vile, iwapo kifungu hicho kiliwahi fanyiwa marekebisho, ni vizuri pia mkatueleza.Tofauti na hapo, mtajilaumu wenyewe kwani mnaelewa kabisa mnawindwa alafu na nyie mnajiingiza wenyewe kwenye mitego.Walio salama kuvunja sheria ni watu wa chama fulani na viongozi wao kwani wao hata wafanye nini hawachukuliwa hatua ila sio nyinyi.

Kibaya zaidi,na kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, sheria ya vyama vya siasa iliyofanyiwa marekebisho katika utawala huu,inampa Msajili mamlaka ya kuingilia mambo ya vyama vya siasa.Sasa sijui kama hili nalo limo katika madaraka au mamala aliyopewa Msajili kulingana na sheria hiyo.

CCM tumeichoka ila na nyinyi wapinzani msituangushe.

Kifungu chenyewe ni hiki:

1603295719283.png
 
Sasa wewe si unajiita mkereketwa?

Unashindwaje sasa kutafuta katiba ya chama uisome?
 
Ndugu zangu,

Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.

Fuatilia mwenyewe hapa chini, Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.

View attachment 1606498
Zito alijitungia akiwa na dhamira ya kuiujumu chadema akasahau kuna Rais atakuwa upande usio wakwake na simwanachama wa act
 
Back
Top Bottom