mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tuseme tu ukweli Zitto AMEBUGI.
Ni Kama kumdhalilisha Membe..
Ni Kama kumdhalilisha Membe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kawashtaki sasaMkuu, Hakuna namna ya kuwanasua!! Wamevunja katiba.
People's powerPeople of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.
Ibara ya 5 tu bila kuathiri maana, tayari ina makosa mawili ya kiuandishi na yameandikwa hivi;
1. atakayesimamoshwa badala ya atakayesimamishwa
2. mashart badala ya masharti
Je hii ni katiba ya ACT kweli!
Kwa akili hizo hustahili kuwa na Avatar ya akili kubwa Prof AssadTuseme tu ukweli zito AMEBUGI.
Ni Kama kumdhalilisha membe..
Unaaweweseka tu na pandikizi lenu ambalo wamellishtukia mapemaNdugu zangu,
Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.
Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Kwa akili hizo hustahili kuwa na Avatar ya akili kubwa Prof Assad
Unaaweweseka tu na pandikizi lenu ambalo wamellishtukia mapema
Zitto Kabwe ambao hamumwelewi hakuna mahali alipoenda kufanya kazi akapaacha salama, yeye kazi yake ni kusaliti tu.Ndugu zangu,
Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.
Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Unaaweweseka tu na pandikizi lenu ambalo wamellishtukia mapema
Kamanda acha jazba
Mkuu, Hakuna namna ya kuwanasua!! Wamevunja katiba.
Katiba ACT wazalendo imeshawashtaki kinachosubiriwa maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa , NEC na ZECNenda kawashtaki sasa
Kinachoongelewa hapa sio Jasusi acha kuruka ruka tunaongelea kipengele hiki cha katiba kilichowavua uanachama Zitto Kabwe na Maalim Seif kuwa sio wanachama tena na sio wagombea na viongozi tena Wa ACT wazalendo sababu sio wanachama wa ACT WAZALENDOJasusi ameshistukiwa, kashakula Mpunga kutoka kwa JIWE, mwambie mtu wako hata akifanya kampeni hawezi kupunguza kura za Lissu, yeye kwa sasa ni ligi ndogo, Maalim kashasema uchaguzi ukifanyika atazidiwa kura na "MZEE WA UBWABWA".
Kinachoongelewa hapa sio Jasusi acha kuruka ruka tunaongelea kipengele hiki cha katiba kilichowavua uanachama Zitto Kabwe na Maalim Seif kuwa sio wanachama tena na sio wagombea na viongozi tena Wa ACT wazalendo sababu sio wanachama wa ACT WAZALENDO
View attachment 1606931
Hakuna katiba iliyovunjwa na Zitto wala Maalim, huo ni mtizamo wako! Anayevunja katiba ni Mtu wenu fulani huko kwenye chama chenu.Kinachoongelewa hapa sio Jasusi acha kuruka ruka tunaongelea kipengele hiki cha katiba kilichowavua uanachama Zitto Kabwe na Maalim Seif kuwa sio wanachama tena na sio wagombea na viongozi tena Wa ACT wazalendo sababu sio wanachama wa ACT WAZALENDO
View attachment 1606931
Hizo allegations zimepelekwa wapi na lini zimefungiliwa?Katiba ACT wazalendo imeshawashtaki kinachosubiriwa maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa , NEC na ZEC
View attachment 1606913
Lakini hadi sasa haijarekebishwaKatiba huwa inarekebishwa tu wala usikonde.